rosemarie JF-Expert Member Mar 22, 2011 6,887 3,412 Nov 18, 2011 #2 kuna shida gani na wewe??sisi tunamla mpaka hiyo pua,usilete mambo yako ya udini hapa
Mkirua JF-Expert Member Sep 9, 2010 5,647 2,498 Nov 18, 2011 #4 ngoshwe said: Click to expand... Whatz wrong??........................Huoni kuwa wanafanana? ungejua alivyo mtamu.....
ngoshwe said: Click to expand... Whatz wrong??........................Huoni kuwa wanafanana? ungejua alivyo mtamu.....
S sawabho JF-Expert Member Feb 25, 2011 5,286 3,107 Nov 18, 2011 #5 Aahaa, kumbe mafua ya nguruwe yalitokea hapo!!! Halafu kuna mtu amesimama anaangalia kwa nyama.
Mkirua JF-Expert Member Sep 9, 2010 5,647 2,498 Nov 18, 2011 #6 sawabho said: Aahaa, kumbe mafua ya nguruwe yalitokea hapo!!! Halafu kuna mtu amesimama anaangalia kwa nyama. Click to expand... Mkuu apo kwenye Red ulimaanisha macho?? au nyuma?? au nyama?? Nadhani sahihi ni macho......
sawabho said: Aahaa, kumbe mafua ya nguruwe yalitokea hapo!!! Halafu kuna mtu amesimama anaangalia kwa nyama. Click to expand... Mkuu apo kwenye Red ulimaanisha macho?? au nyuma?? au nyama?? Nadhani sahihi ni macho......
Mkirua JF-Expert Member Sep 9, 2010 5,647 2,498 Nov 18, 2011 #7 Straddler said: Ndio maana mafua ya nguruwe hayaishi. Click to expand... Mbona mnanyonya vingine vichafu zaidi hata hamsemi?????
Straddler said: Ndio maana mafua ya nguruwe hayaishi. Click to expand... Mbona mnanyonya vingine vichafu zaidi hata hamsemi?????
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Oct 5, 2007 23,268 17,099 Nov 18, 2011 #8 Hapa unamkuta kwenye high table
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,891 155,909 Nov 18, 2011 #9 CCM inamuharibu mtoto
ndyoko JF-Expert Member Nov 2, 2010 4,971 1,650 Nov 18, 2011 #10 Straddler said: Ndio maana mafua ya nguruwe hayaishi. Click to expand... Yaishe yasiishe, hii kitu tamu sana
Straddler said: Ndio maana mafua ya nguruwe hayaishi. Click to expand... Yaishe yasiishe, hii kitu tamu sana
Daffi Jr JF-Expert Member Jun 25, 2011 3,825 906 Nov 18, 2011 #11 anamwonekano mbaya wa uchafu lakini ananyama tamu ajabu ya mungu.
feis buku JF-Expert Member Aug 29, 2011 2,342 676 Nov 18, 2011 #12 Jamani viumbe wote wa mungu wana haki sawa si vyema kuwanyanyapaa!!khaa!!
Ralphryder JF-Expert Member Nov 16, 2011 4,933 1,294 Nov 18, 2011 #13 ngoshwe said: Click to expand... Mh! haya! mi mgeni!
Mangimeli JF-Expert Member Sep 15, 2011 1,151 286 Nov 18, 2011 #16 Bujibuji said: CCM inamuharibu mtoto Click to expand... we nawe umelogwa ccm iko wapi apo?
Leonard Robert JF-Expert Member Apr 22, 2011 11,064 7,196 Nov 18, 2011 #17 Mangimeli said: we nawe umelogwa ccm iko wapi apo? Click to expand... kama hutaki basi ccm-B
ngoshwe JF-Expert Member Mar 31, 2009 4,131 931 Nov 18, 2011 Thread starter #18 Leonard Robert said: kama hutaki basi ccm-B Click to expand... labda pua!!
Ndahani Platinum Member Jun 3, 2008 18,119 9,049 Nov 18, 2011 #19 Halafu wanashangaa mafua ya nguruwe yanapatikanaje!