Video: Wakati Trump anatuita majina mabaya Waafrica, angalia msafara wa Rais Magufuli mjini Kahama

Huyo Rais wa USA ni kama ametumwa kuiharibu Dunia ana matamko ya ajabu ajabu sana eti Haiti na African Nation ni shithole nachoshangaa ni Botswana pekee kwa Africa ndio imejitokeza kumwambia balozi ajibu hoja ya Rais wake kama na wao ni shit hole Nation watoe tamko lao...
 
Tutabisha tu lakini trust me anayoyasema trump jukwaani, ndio yaleyale wanayoyasema wazungu kwenye faragha zao. Hapa alichofanya Trump ni kuuondoa unafiki na kuweka mambo wazi. So kama kuna hatua zozote tunazopaswa kuzichukua, si juu ya Trump pekee bali ni jamii yake yote.
 
Kwani kauli za Yohana na Trump zina tofaut ipi
 
Back
Top Bottom