Nilichokiona Leo Dar kiliniacha mdomo wazi

Louis II

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
3,030
4,645
Wakuu assalaam aleyqum!!!

Niseme tu ya kwamba dunia yetu inapoelekea ni kubaya hasa kwa hapa nchini Tz (Dar es salaam in particular).

Mchana wa leo nilivyotoka job nilipitia njia ya TMK kwa sababu ya foleni njia ya TAZARA nilipofika Tandika nilipaki na kuingia public toilet fulani hivi bahati mbaya/nzuri sikumkuta mhudumu (anayepokea chenji) so, niliamua tu kuzama ndani kwa minajili ya kulipa pindi nitokapo..

Nilipofika ndani palikuwa kimya mno ikiashiria kutokuwepo kwa mtu yoyote maeneo yale nilimaliza haja zangu na muda mfupi harakaharaka nikaanza kutoka (niwahi futari) bahati mbaya/nzuri ile nakaribia mlango mkuu wa toilet nilisikia kitu kama yowe au anung'uniko ya mtu anayefanywa kitu kibaya.

Niliamua kurudi ndani kuhakikisha iwapo nilichosikia ni cha kweli ama ni swaumu yangu tu ilinikamata Looh!! Ile nafika choo cha mwisho kabisa nakuta njemba imemuinamisha jamaa (mweupe kama shombe) anamfanya kinyume na maumbile aisee nilichoka na kupigwa butwaa mno na wao niliwaona wakiweweseka wakitamani hata ardhi ipasuke waingie humo.

Nilichofanya niliwaambia ya kwamba waendelee tu na mambo yao na nikawahadaa kwa kuwaomba msamaha kwa bughdha niliyowaletea yule jamaa shombeshombe palepale alitoka kwa mwendo wa haraka huku akifunga mkanda wa trouser nilitoka pale mahali nikiwa siamini nilichokiona nilijuta kiherehere changu cha kupitia Temeke nusu nitengue swaumu yangu astaghfirullah.
 
Wakuu assalaam aleyqum!!!

Niseme tu ya kwamba dunia yetu inapoelekea ni kubaya hasa kwa hapa nchini Tz (Dar es salaam in particular).

Mchana wa Leo nilivyotoka job nilipitia njia ya TMK kwa sababu ya foleni njia ya TAZARA..nilipofika Tandika nilipaki na kuingia public toilet Fulani hivi..bahati mbaya/nzuri sikumkuta mhudumu (anayepokea chenji) so, niliamua tu kuzama ndani kwa minajili ya kulipa pindi nitokapo..

Nilipofika ndani palikuwa kimya mno ikiashiria kutokuwepo kwa mtu yoyote maeneo yale.. nilinaliza haja zangu na muda mfupi harakaharaka nikaanza kutoka (niwahi futari)...bahati mbaya/nzuri ile nakaribia mlango mkuu wa toilet nilisikia kitu kama yowe au manung'uniko ya mtu anayefanywa kitu kibaya..

Niliamua kurudi ndani kuhakikisha iwapo nilichosikia ni cha kweli ama ni swaumu yangu tu ilinikamata!!..Looh!! Ile nafika choo cha mwisho kabisa nakuta Njemba imemuinamisha jamaa (mweupe kama shombe) anamfanya kinyume na maumbile..
Aisee nilichoka na kupigwa butwaa mno!! Na wao niliwaona wakiweweseka wakitamani hata ardhi ipasuke waingie humo...
Nilichofanya niliwaambia ya kwamba waendelee tu na mambo yao na nikawahadaa kwa kuwaomba msamaha kwa bughdha nliyowaletea...yule jamaa shombeshombe palepale alitoka kwa mwendo wa haraka huku akifunga mkanda wa trouser. Nilitoka pale mahali nikiwa siamini nilichokiona..Nilijuta kiherehere changu cha kupitia Temeke!! Nusu nitengue swaumu yangu..astaghfirullah!!!!
Duh
 
Astakhafillulah.!
Jamaa wanafirana mwezi mtukufu.!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom