Asprin, Krolokwin, Fellow Tablet, Quinine.....

Klorokwini, mtoto wa baba more than 3 atatokaje??? hizo wish :nono::nono:
Halaf Lily Flower sjui nani alikwambia kama nina marazi na miguu, yaani hii miguu yako mimi nikiiona tu basi nasahau mpaka password yangu ya JF. Jamani mtauwa halaf mazikoni msihuzurie
 
Angalia mada kesi zisichukue mkondo wake nitaondoa miguu kwa manufaa yako.
 
Back
Top Bottom