Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 9,482
- 14,346
Haya haya badugu Fellow Tablet1 ndani ya jamvi lengo nikuendelea kupambana na maradhi sugu jamani siapata location naomba mniambie ni location ngani nzuri itanifaa
maana Asprin na Krolokwin wao location zao ni Pharmacy na Maternity ward....
ndugu yangu Fellow Table nishike mkono na mimi nisaivu...
nimewapa shavu la kwanza kabla ya member wengine kwa kua nyinyi we belong in the same family