mtoto unapenda nanihii wewe...kha!
docoment muhimu zote zitakuwepo mpaka kipima joto kitakuwepo inaelekea joto huko negative.
Ukizingatia kipindi cha baridi kinaanza tutawahesabu wengi kwenye mwezi wa 12 mpaka wa 2.
acid angeviyeyusha vyote hivi... bahati mbaya sana kachinjiwa baharini kama osama
lily flower atakosa kweli hapo, maana kakomaa na sredi kinoma noma
:dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance:
Khe...:A S 114::A S 114::A S 114::A S 114::A S 114::A S 114:
dah! wakuu inabidi nilog out bana, kuna kadada ka kizungu kamekuja hapa halaf kameniachia ka mbwa kake nikaogeshe. Dah! msiskie, utumwa bado upo jamani
dhambi....Hivi hatuwezi ku fufua wafu???
dhambi....