Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

Usalama wa uchwara na MACCM. Wangekuwa ni usalama wa Taifa wangempiga stop huyu dhalimu kwa kumwambia unakoipeleka nchi siko utaitumbukiza kwenye machafuko makubwa sana.
kuna wapuuzi wachache wanajifanya hawaoni huyu dikteta uchwara anapotupeleka
 
Mkuu huyu ni wewe kweli? Au kuna mtu anatumia pw yako?

Ni kweli serikali yetu imekuwa ni ya kinyanyasaji sana.... badala ya kuboresha maisha ya wananchi ndio kwanza inadidimiza...
 
Nahisi wanasikilizia upepo.........pia aliyeandika huu uzi aweke na video......
[HASHTAG]#kakobhe[/HASHTAG]
mleta mada alienda kusali sio kurecord, bali kusikiliza maagizo na kuyaweka moyoni ili apate kuyaishi kwa matendo
 
AHADI YA MWANACCM

NITASEMA UKWELI DAIMA, UONGO KWANGU MWIKO.

KAKOBE AMETIMIZA AHADI HYO. 99.99% YA WANACCM HAWAJAWAH TIMIZA HLI
 
Back
Top Bottom