mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Wana JF,
Tunajua kuwa gharama za kuendesha shule binafsi ni gharama sana katika kuweka mazingira bora ya watoto kuwa na elimu bora. Tunajua utashi wa kanisa lako kufundisha nidhamu zaidi mashuleni ndio maana shule za kanisa katoloki linakimbiliwa sana.
Tunachokuomba hii jamii ya watanzania ina uwezo wa kawaida sana kutokana na kipato, hala kuzingatia mazingira. atupendi kwaacha maskini washindwe kupeleka watoto kwenye elumu bora ila shule za kanisa lako linapandisha ada ovyo bila kuzingalia nyakati na mazingira.
Mfano ni shule ya msingi Hope and Joy ya mbweni, imepandisha hada kutoka laki 9 mpaka 1.1m, nyingine 1.2 kwa dara la kwanza, hii inatupa shoko wazazi, kumbuka kuwa huku ni sehemu ya makazi mapya kuna waamiaji wengi, leo hii kila biashara Magufuli kapiga pini, usijeshangaa kunabaki madawati tu, tunarudi kwa kayumba style.