Askofu mkuu Pengo mulika shule za Kanisa lako takatifu

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,753
7,075
Wana JF,

Tunajua kuwa gharama za kuendesha shule binafsi ni gharama sana katika kuweka mazingira bora ya watoto kuwa na elimu bora. Tunajua utashi wa kanisa lako kufundisha nidhamu zaidi mashuleni ndio maana shule za kanisa katoloki linakimbiliwa sana.

Tunachokuomba hii jamii ya watanzania ina uwezo wa kawaida sana kutokana na kipato, hala kuzingatia mazingira. atupendi kwaacha maskini washindwe kupeleka watoto kwenye elumu bora ila shule za kanisa lako linapandisha ada ovyo bila kuzingalia nyakati na mazingira.

Mfano ni shule ya msingi Hope and Joy ya mbweni, imepandisha hada kutoka laki 9 mpaka 1.1m, nyingine 1.2 kwa dara la kwanza, hii inatupa shoko wazazi, kumbuka kuwa huku ni sehemu ya makazi mapya kuna waamiaji wengi, leo hii kila biashara Magufuli kapiga pini, usijeshangaa kunabaki madawati tu, tunarudi kwa kayumba style.
 
Wana JF,

Tunajua kuwa gharama za kuendesha shule binafsi ni gharama sana katika kuweka mazingira bora ya watoto kuwa na elimu bora. Tunajua utashi wa kanisa lako kufundisha nidhamu zaidi mashuleni ndio maana shule za kanisa katoloki linakimbiliwa sana. Tunachokuomba hii jamii ya watanzania ina uwezo wa kawaida sana kutokana na kipato, hala kuzingatia mazingira. atupendi kwaacha maskini washindwe kupeleka watoto kwenye elumu bora ila shule za kanisa lako linapandisha ada ovyo bila kuzingalia nyakati na mazingira. Mfano ni shule ya msingi Hope and Joy ya mbweni, imepandisha hada kutoka laki 9 mpaka 1.1m, nyingine 1.2 kwa dara la kwanza, hii inatupa shoko wazazi, kumbuka kuwa huku ni sehemu ya makazi mapya kuna waamiaji wengi, leo hii kila biashara Mgufuri kapiga pini, usijeshangaa kunabaki madawati tu, tunarudi kwa kayumba style.

Naomba mpaka vyuo vikuu ambavyo viko chini yake mfano st Joseph
 
Sidhani kama Kadinali ana mamlaka ya kuzisemea shule zilizo chini ya mashirika ya kikatoliki maana kuna mashirika mbalimbali yanayoendesha shule na kutoa elimu hapa nchini na kila shirika lina taratibu zake ukizingatia mazingira ya shule, elimu itolewayo, wingi wa watu wanaohitaji nafasi ya kujiunga na shule husika, gharama za uendeshaji n.k.
Suala la kupanga ada kwa hizi shule ni jukumu la serikali kwa kushirikiana kwa karibu na wamiliki wake na hata wazazi inapobidi kwa kuangalia gharama za uendeshaji wa hizo shule.
 
Basi shule hizi zisitumia RC mana zinaonekana kanisa katoliki linawanyonya waumini wake Ki-rwakatare style na st ...... hata hivyo bado tuneshimu elimu watohayo lakini mambo ya kupanisha kila mwaka ni kero sana, shemu hii ya Mbweni na Bunju kumekuwepo waamiaji wengi lakini mashule hakuna, sasa kuona hivyo inaonekana wahitaji wameongezeka , mwalimu mkuu kaanza kutumia nafasi hii kupandisha fedha, kabla ya hapo HOPE and JOY ilionekana mkombozi wa masikini lakini baada ya kuondoka sister akaletwa mwalimu mkuu ambaye ni mwanaume mambo yamepanda kila kitu, inasikitisha sana kuwahamisha wototo kila wanapopndisha, wazo la magufuri kuwaambia wapunguzi ni nzuri asiyependa afunge shule afugie kuku.
 
Of course kumekuwepo upandishaji holela wa ada na michango lukuki wa ada na michango lakini kitu kingine cha msingi na cha kuangalia ni mahitaji mengine na huduma zitolewazo na shule kama zinaendana na gharama zitozwazo.
Kwa mfano: miaka yangu nimesoma shule moja hadi namaliza ada ilikuwa 400, 000/-; hostel, chakula na michango mingine yote 450,000/- wakati shule zingine zilikuwa na ada kidogo sana ukilinganisha na shule zingine kwa mkoa huo.
Pamoja na gharama hiyo hatukuwa tunapeleka rimu paper, majembe, sijui hela ya weekly test, monthly test, sijui exams mbali na NECTA/ZONAL EXAMS. Pia msosi ilikuwa poa sana.
Elimu sasa usiseme watoto tulikuwa tunacheza na computer, maabara toka pre-form one. Actually gharama ilikuwa inaendana kabisa na gharama za uendeshaji katika shule hiyo.
Lakini shule nyingi sasa ziko kibiashara hususani wakati huu mashirika mengi ya kikatoliki yanarejea mikononi mwa wakoloni weusi (wazawa) as wazungu/wahindi wameanza kurejea makwao kama si bara Asia kutoa huduma na kueneza injili.
Cha msingi ni serikali kukaa na wamiliki wa hizi shule na kuona namna ya kubalance mambo japokuwa haitokaa iwe sawa na tunavyotaka sisi wenye watoto huko maana sisi wenyewe twatofautiana kiuchumi. Hapa tunapojadili kuna watu walikuwa wameshindwa kuwalipia watoto wao ile 20, 000/- ya ada na kuwafanya wakose kwenda sekondari wakati watu wengine wanalipia watoto wao zaidi ya milioni 1.5
 
Peleka unakoweza kulipia
wapi wakati unaambiwa kuna shid huku mbweni na bunju wakazi wengi shule hakuna, wewe subiri tu fedha z kifisadi zitakapoisha utalia na kusaga meno, si mlikuwa mnaishi kwa dili, sasa malock kazipiga lock
 
Kuapandishwa kwa mishahara ya watumishi kila wakati sio tatizo? Gharama hizo kupanda huenda ni sababu ya gharama ya undeshaji nayo kupanda. Mfano walimu kuhitaji mishahara mikubwa ili kukidhi gharama ya maisha nje ya shule sio tatizo? Inawezekana tatizo hilo la kupandisha ada linatokana na kupanda kwa gharama ya maisha, na kushuka kwa dhamana ya fedha zetu. Mi naona upandaji wa ada katika nyaja hiyo itazamwe ndani na nje ya eneo husika.
 
Wana JF,

Tunajua kuwa gharama za kuendesha shule binafsi ni gharama sana katika kuweka mazingira bora ya watoto kuwa na elimu bora. Tunajua utashi wa kanisa lako kufundisha nidhamu zaidi mashuleni ndio maana shule za kanisa katoloki linakimbiliwa sana.

Tunachokuomba hii jamii ya watanzania ina uwezo wa kawaida sana kutokana na kipato, hala kuzingatia mazingira. atupendi kwaacha maskini washindwe kupeleka watoto kwenye elumu bora ila shule za kanisa lako linapandisha ada ovyo bila kuzingalia nyakati na mazingira.

Mfano ni shule ya msingi Hope and Joy ya mbweni, imepandisha hada kutoka laki 9 mpaka 1.1m, nyingine 1.2 kwa dara la kwanza, hii inatupa shoko wazazi, kumbuka kuwa huku ni sehemu ya makazi mapya kuna waamiaji wengi, leo hii kila biashara Magufuli kapiga pini, usijeshangaa kunabaki madawati tu, tunarudi kwa kayumba style.

Pengo uwezo wake kimamlaka ni dar es salaam tu.. Nadhani tuwaandikie maaskofu wote waliangalie hili suala..
 
Ndugu Yangu Inaonekana Huujui Mfumo Wa Kiitifaki Wa Kanisa Katoliki,askofu Pengo Siyo Kiongozi Mkuu Wa Katoliki Tz,askofu Wa Kila Jimbo Ni Incharge Ktk Jimbo Lake Na Wote Ni Direct Acountable Kwa Pope(kiti Cha Kitume),kwanza Pata Darasa Hilo Mkuu!
 
Kama shule husika ipo chini ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam, basi Pengo anahusika, ia kama mradi haupo chini ya Jimbo hilo, basi hata kama upo Dar es Salaam hawezi kuuamulia.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom