EZZ CHEZZ
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,230
- 1,352
'poor askofu',hivi hajui kuwa nchi ina mkurugenzi wa mashtaka ambaye anapaswa kuifanya hiyo kazi?kwa nini asisihoji serikali kutochukua japo hatua za kiuchunguzi?hilo ni tatizo la kusoma ili uajiriwe,huumizi kichwa kujiuliza hata katika yaliyo ya msingi.akae akiiamini katika hao mafisadi wake,ila ajue siku zao zinahesabika.pole sana baba askofu kwa umbumbumbu.