MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,359
- 22,921
Shoo aliifanya KKKT kuwa tawi la CHADEMA ndo maana baada ya kustaafu wakampa takrima ya VX - V8
Kiufupi Malasusa ni taahira , kanisa la kilutheri liliundwa na Martin Luther kipindi cha christian Reformation ( matengenezo ya kanisa ) Kwa kupingana na uongozi na mwenendo wa kanisa katoliki chini ya pope ambapo kifupi kanisa katoliki ndio lilikuwa serikali ya ulaya na queens na kings walikuwa puppets Tu WA kanisa , so ilikuwa kupingana na kanisa katoliki ni kujitangazia kifo na unakuwa unapingana na serikali inayoongoza bara zima kwa wakazi huo .Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr. Alex Malasusa amesema alipochaguliwa tu Muumini mmoja alimtumia salamu za pongezi na kusema "Mitaani Watu wanasema wewe uko Karibu sana na Serikali."
Askofu Malasusa amesema hawezi kukataa ukaribu wa na Serikali kwa Sababu hukulelewa kwenda Kinyume au kutoitii Serikali.
Askofu Malasusa amesema Hayo mbele ya viongozi wakuu wa Serikali na mihimili ya DOLA yaani Rais Samia, Spika Dr. Tulia, JM Prof Juma, Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi, Waziri wa mambo ya Ndani na RC Chalamila.
Aidha Askofu Dr Malasusa amewataka Wanasiasa kukaa mezani na kuzungumza badala ya kutumia mbinu nyingine ilu kulinda Amani iliyopo
Source Upendo TV
Uzi uishie hapa.Kiufupi Malasusa ni taahira , kanisa la kilutheri liliundwa na Martin Luther kipindi cha christian Reformation ( matengenezo ya kanisa ) Kwa kupingana na uongozi na mwenendo wa kanisa katoliki chini ya pope ambapo kifupi kanisa katoliki ndio lilikuwa serikali ya ulaya na queens na kings walikuwa puppets Tu WA kanisa , so ilikuwa kupingana na kanisa katoliki ni kujitangazia kifo na unakuwa unapingana na serikali inayoongoza bara zima kwa wakazi huo .
Ni mpumbavu kama Malasusa ndio anaweza kukubali kuvunja miiko ya kiimani ya kanisa lake na kuwa kibaraka wa serikali , separation of church and the Government kiufupi zilikuwa ni harakati za Christian reformers hasa Martin Luther ,Maana yeye ndio alianzisha hiyo movement
Wakati ambapo kanisa lilikuwa ni moja (kanisa katoliki ) na ndio ilikuwa serikali , watu kama wanasayansi akina Galilei waliuawa vibaya kwa kuchomwa moto , wengine akina John Tyndel waliwindwa na kuuawa pia kwa kuexpress opinions zao tu
Sijakataa nimekueleza Protocol Hao wote hawakuzingatia Protocol na hawakuwa wasafi wote waliishia pabaya Martin Luther King Jr aliuawa ,Jesse Jackson na Desmond Tutu walifukuzwa uongozi kanisani na wakakiri Kwa kuzaa nje ya ndoa wakiwa viongozi wa Kanisa
Kanisa liliwachukulia hatua Walikuwa wanabwekea viongozi wa serikali huku wanafanya umalaya
Ya Papa sijawahi soma popote kuwa amewahi kemea kiongozi yeyote wa serikali direct labda uweke ushahidi
una uchungu na unatia huruma sana kamanda ama kweli kuachwa ni shughuli pevu 🐒KKKT rasmi ime kuwa tawi ndani ya Ccm
huku ni kuhemka, kuhemshwa au kuhemkwa 🐒Kifupi Hadi Mwamposya anaheshimiwa na maraisi na mawaziri kuliko watu kama Askofu Shoo nk wasomi wabobezi kwenye theology ni aibu
Mzee Mwasapile wa Kikombe Cha Babu hadhi yake kubwa
Kwa Hadi viongozi wakubwa serikalini kuliko watu kama Askofu Shoo au Bagonza nk wabobezi wa theilojia ni aibu Kwao
Kuonya Kuna protocol hata baba Yako akikosea au mke huwezi enda mkutano wa hadhara kusema mke kikojozi msimuone anajipodoa hivyo kikojozi
Sasa mkuu niambie hao mizimu wako wanakuambia nini kuhusiana na after life??Mkuu umekuwa brain washed na wahuni nawe umeingia mzima mzima so sad.
Kuhusu papa soma chanzo cha kuporomoka kwa ukomunist. Kuzaa nje ya ndoa ni ubinadamu hata wewe inawezekana humjui biological father wakoSijakataa nimekueleza Protocol Hao wote hawakuzingatia Protocol na hawakuwa wasafi wote waliishia pabaya Martin Luther King Jr aliuawa ,Jesse Jackson na Desmond Tutu walifukuzwa uongozi kanisani na wakakiri Kwa kuzaa nje ya ndoa wakiwa viongozi wa Kanisa
Kanisa liliwachukulia hatua Walikuwa wanabwekea viongozi wa serikali huku wanafanya umalaya
Ya Papa sijawahi soma popote kuwa amewahi kemea kiongozi yeyote wa serikali direct labda uweke ushahidi
Maisha ni haya haya ukifa ndiyo biashara imeishia hapo. Jee una uthibitisho gani wa maisha mengine baada ya kufukiwa kaburini. Nani alikwenda huko akarudi kuthibisha uwepo wa maisha baada ya kifo?Sasa mkuu niambie hao mizimu wako wanakuambia nini kuhusiana na after life??
Kwenye imani yako kuna maisha baada ya haya au hapa ndio kila kitu.
Yesu alienda na kurudi akasema Kuna maisha baada ya kufaMaisha ni haya haya ukifa ndiyo biashara imeishia hapo. Jee una uthibitisho gani wa maisha mengine baada ya kufukiwa kaburini. Nani alikwenda huko akarudi kuthibisha uwepo wa maisha baada ya kifo?
Ulimuona wewe?Yesu alienda na kurudi akasema Kuna maisha baada ya kufa
Wewe una ushahidi upi kwamba maisha ni hapa hapa hakuna kwingine??Maisha ni haya haya ukifa ndiyo biashara imeishia hapo. Jee una uthibitisho gani wa maisha mengine baada ya kufukiwa kaburini. Nani alikwenda huko akarudi kuthibisha uwepo wa maisha baada ya kifo?
Watu wote tunatakiwa kuitii serikali lakini siyo kuitii CCM, dini zinatutaka tutii mamlaka ambayo ni serikali.Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr. Alex Malasusa amesema alipochaguliwa tu Muumini mmoja alimtumia salamu za pongezi na kusema "Mitaani Watu wanasema wewe uko Karibu sana na Serikali."
Askofu Malasusa amesema hawezi kukataa ukaribu wa na Serikali kwa Sababu hukulelewa kwenda Kinyume au kutoitii Serikali.
Askofu Malasusa amesema Hayo mbele ya viongozi wakuu wa Serikali na mihimili ya DOLA yaani Rais Samia, Spika Dr. Tulia, JM Prof Juma, Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi, Waziri wa mambo ya Ndani na RC Chalamila.
Aidha Askofu Dr Malasusa amewataka Wanasiasa kukaa mezani na kuzungumza badala ya kutumia mbinu nyingine ilu kulinda Amani iliyopo
Source Upendo TV