Askofu Malasusa: Sijalelewa kuwa Kinyume na Serikali, Sijalelewa kutoitii Serikali!

Kanisa lishakiuka misingi ,lishakuwa kanisa la kisenge hili
Ndio maana nishaacha kusali huko , ni bora niwe nafanya ibada kivyangu
Misingi ya Martin Luther kuanzisha hili kanisa haifuatwi sikuhizi
Kanisa la kilutheri liliundwa kwa mfumo wa rebellion na imani yake always ni kupinga uovu ,sasa nashangaa kabisa sikuhizi limevamia na maskofu wapumbavu kama huyo Malasusa
Mbwa kabisa huyo mzee
 
Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr. Alex Malasusa amesema alipochaguliwa tu Muumini mmoja alimtumia salamu za pongezi na kusema "Mitaani Watu wanasema wewe uko Karibu sana na Serikali."

Askofu Malasusa amesema hawezi kukataa ukaribu wa na Serikali kwa Sababu hukulelewa kwenda Kinyume au kutoitii Serikali.

Askofu Malasusa amesema Hayo mbele ya viongozi wakuu wa Serikali na mihimili ya DOLA yaani Rais Samia, Spika Dr. Tulia, JM Prof Juma, Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi, Waziri wa mambo ya Ndani na RC Chalamila.

Aidha Askofu Dr Malasusa amewataka Wanasiasa kukaa mezani na kuzungumza badala ya kutumia mbinu nyingine ilu kulinda Amani iliyopo

Source Upendo TV

Kiufupi Malasusa ni taahira , kanisa la kilutheri liliundwa na Martin Luther kipindi cha christian Reformation ( matengenezo ya kanisa ) Kwa kupingana na uongozi na mwenendo wa kanisa katoliki chini ya pope ambapo kifupi kanisa katoliki ndio lilikuwa serikali ya ulaya na queens na kings walikuwa puppets Tu WA kanisa , so ilikuwa kupingana na kanisa katoliki ni kujitangazia kifo na unakuwa unapingana na serikali inayoongoza bara zima kwa wakazi huo .

Ni mpumbavu kama Malasusa ndio anaweza kukubali kuvunja miiko ya kiimani ya kanisa lake na kuwa kibaraka wa serikali , separation of church and the Government kiufupi zilikuwa ni harakati za Christian reformers hasa Martin Luther ,Maana yeye ndio alianzisha hiyo movement
Wakati ambapo kanisa lilikuwa ni moja (kanisa katoliki ) na ndio ilikuwa serikali , watu kama wanasayansi akina Galilei waliuawa vibaya kwa kuchomwa moto , wengine akina John Tyndel waliwindwa na kuuawa pia kwa kuexpress opinions zao tu
 
Uzi uishie hapa.

Umefinishi ichi endi everithing'
 
Sijakataa nimekueleza Protocol Hao wote hawakuzingatia Protocol na hawakuwa wasafi wote waliishia pabaya Martin Luther King Jr aliuawa ,Jesse Jackson na Desmond Tutu walifukuzwa uongozi kanisani na wakakiri Kwa kuzaa nje ya ndoa wakiwa viongozi wa Kanisa

Kanisa liliwachukulia hatua Walikuwa wanabwekea viongozi wa serikali huku wanafanya umalaya

Ya Papa sijawahi soma popote kuwa amewahi kemea kiongozi yeyote wa serikali direct labda uweke ushahidi
 
Kifupi Hadi Mwamposya anaheshimiwa na maraisi na mawaziri kuliko watu kama Askofu Shoo nk wasomi wabobezi kwenye theology ni aibu

Mzee Mwasapile wa Kikombe Cha Babu hadhi yake kubwa
Kwa Hadi viongozi wakubwa serikalini kuliko watu kama Askofu Shoo au Bagonza nk wabobezi wa theilojia ni aibu Kwao

Kuonya Kuna protocol hata baba Yako akikosea au mke huwezi enda mkutano wa hadhara kusema mke kikojozi msimuone anajipodoa hivyo kikojozi
huku ni kuhemka, kuhemshwa au kuhemkwa 🐒

dah,
ifike mahali ukiachwa achika, yote ayo yann
 
Ni upuuzi sana viongozi wa dini kutumika na serikali ,ndio maana kwa wenzetu wanafanya separation of religion and state
No tatizo sana kuruhusu dini kuwa na mahusiano na serikali ,
Matokeo yake ni dini kutumika kama brainwashing and controlling tool ya serikali dhidi ya wananchi ili kuwaziba macho na midomo
 
Kumbe hata maskofu wapo ambao hawajielewi amewanajisi waliompa PhD na waliomchagua zee la hovyo sana hilo.
 
Mkuu umekuwa brain washed na wahuni nawe umeingia mzima mzima so sad.
Sasa mkuu niambie hao mizimu wako wanakuambia nini kuhusiana na after life??

Kwenye imani yako kuna maisha baada ya haya au hapa ndio kila kitu.
 
Sijakataa nimekueleza Protocol Hao wote hawakuzingatia Protocol na hawakuwa wasafi wote waliishia pabaya Martin Luther King Jr aliuawa ,Jesse Jackson na Desmond Tutu walifukuzwa uongozi kanisani na wakakiri Kwa kuzaa nje ya ndoa wakiwa viongozi wa Kanisa

Kanisa liliwachukulia hatua Walikuwa wanabwekea viongozi wa serikali huku wanafanya umalaya

Ya Papa sijawahi soma popote kuwa amewahi kemea kiongozi yeyote wa serikali direct labda uweke ushahidi
Kuhusu papa soma chanzo cha kuporomoka kwa ukomunist. Kuzaa nje ya ndoa ni ubinadamu hata wewe inawezekana humjui biological father wako
 
Sasa mkuu niambie hao mizimu wako wanakuambia nini kuhusiana na after life??

Kwenye imani yako kuna maisha baada ya haya au hapa ndio kila kitu.
Maisha ni haya haya ukifa ndiyo biashara imeishia hapo. Jee una uthibitisho gani wa maisha mengine baada ya kufukiwa kaburini. Nani alikwenda huko akarudi kuthibisha uwepo wa maisha baada ya kifo?
 
Yesu alienda na kurudi akasema Kuna maisha baada ya kufa
 
Maisha ni haya haya ukifa ndiyo biashara imeishia hapo. Jee una uthibitisho gani wa maisha mengine baada ya kufukiwa kaburini. Nani alikwenda huko akarudi kuthibisha uwepo wa maisha baada ya kifo?
Wewe una ushahidi upi kwamba maisha ni hapa hapa hakuna kwingine??

Mfano mtu anakuambia kuna nchi inaitwa Marekani nawe kwakua tu hujawahi kufika basi unadai kuwa haipo.

Kwakua hujawahi kufika mbinguni basi unadai kuwa mbingu hakuna.

Ngoja ukifika utajua kama haipo au ipo.
 
Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr. Alex Malasusa amesema alipochaguliwa tu Muumini mmoja alimtumia salamu za pongezi na kusema "Mitaani Watu wanasema wewe uko Karibu sana na Serikali."

Askofu Malasusa amesema hawezi kukataa ukaribu wa na Serikali kwa Sababu hukulelewa kwenda Kinyume au kutoitii Serikali.

Askofu Malasusa amesema Hayo mbele ya viongozi wakuu wa Serikali na mihimili ya DOLA yaani Rais Samia, Spika Dr. Tulia, JM Prof Juma, Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi, Waziri wa mambo ya Ndani na RC Chalamila.

Aidha Askofu Dr Malasusa amewataka Wanasiasa kukaa mezani na kuzungumza badala ya kutumia mbinu nyingine ilu kulinda Amani iliyopo

Source Upendo TV

Watu wote tunatakiwa kuitii serikali lakini siyo kuitii CCM, dini zinatutaka tutii mamlaka ambayo ni serikali.
 
Back
Top Bottom