Crucifix
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 1,651
- 588
Maaskofu wanaowashambulia viongozi wanaochemsha ndani ya Serikali nadhani wako sahihi! ila sikubaliani nao pale wanaposhabikia na kutetea kauli za baadhi ya viongozi wa chama kimoja cha upinzani wakati nchi hii ni kuna vyama vingi vya kisiasa! hapa Maaskofu wanaonyesha unafiki kwa kushabikia Chadema tu!!
Tumeshuhudia kila anapoongea kiongozi wa Chadema kumlaumu Kiongozi Serikalini na kujibiwa basi anaefuata kutetea kauli za kiongozi huyo wa CDM anakuwa ni Askofu!!!
Sasa nauliza Maaskofu wao wameamua kushabikia na kutetea Chadema? jee, Mashehe na Maimamu nao wakiamua kuwa upande wa NCCR au TLP itakuwa ni kosa!
Ushauri wangu wa bure kwa Mababa Askofu nawaomba wabaki Makanisani kuchunga Kondoo wao kwani siasa imewashinda kwa kuamua kuwa wasemaji na watetezi wa Chadema!!!
Lakini hata masheikh hawakatazwi kutetea hoja makini za CDM. Na wanapaswa kutambua Slaa sio kiongozi wa dini japo zamani alikuwaga padri na baadaye akatuhumiwa hadi kuchakachua mke wa mtu. Kwa 'dhambi' hiyo nadhani masheikh wamuunge mkono Slaa maana hana tofauti nao wenye kuchakachua hadi kina mama 4 hivi. Simaanishi mapadri hawachakachui, wapo na hata masheikh na maimamu wapo, lakini yanapokuja maslahi ya nchi tunaangalia nani anatutoa hapa hadi kule!!!! Masheikh walimwamini Nyerere 1958 na sasa wanapaswa kumwamini mtu wanayemwona anafaa 2015 bila kujali itikadi ya didi.