Askof Malasusa acha kujifanya wewe si muuaji.

Jioni hii nikiangalia
taarifa ya habari, lakini cha ajabu ni kuwa Askf. Malasusa alikuwa
akililia utawala wa sheria!! Je, anaweza kutuambia nini kilijiri hadi
wanachuo wa Tumaini mwaka 2010/11 wakaandamana na hata kufukuzwa chuo
kwa kudai haki yao ambayo hadi leo hawajaipata.

Haki yenyewe ndiyo ya kukusanya Tsh. 1,000,000?= kwa mwaka toka kwa kila
mwanachuo kwa muda wake wa miaka yote anapokuwa chuoni hapo? i.e
3,000,000/= kwa kisingiziocha ujenzi wa chuo. Je, hayo si mauaji ya
kutisha ya watanzania wenzio ambao uchumi wao ni mdogo? Na sasa ni miaka
mingi inapita kila mwaka ukikusanya pesa yao na chuo hakijengwi huko
Mikocheni, ila mnakula interest kila mwaka. Bora kifo cha mwili kuliko
kifo unachowafanyia watanzania wenzako. Kiasi hakipungui na chuo
hakijengwi.

Mwogope muumba wako ukatende sawa na sheria za nchi na amri ya
'Usiibe'

Nonsense!
 
Kama 'wasomi' wenyewe tunaowazalisha vyuoni ndiyo type hii tuna kazi kweli kweli! Mbona huyu haeleweki anamaanisha nini? Kujieleza kwa kiswahili tu hivyo, je ingekuwa lugha ya kikoloni ingekuwaje? Kuna kitu hapo? Inawezekana alikuwa na ujumbe aliotaka jamii iufahamu lakini the presentation was extremely poor! Pole.

Chezea elimu ya kudesa weye!
 
Umenena vyema. Mie pia ni mchangiaji na sisiti kuchanga kwa sababu sijui itamgusa nani kumsaidia.
Nawe unaesoma, changia tu. Kizazi kijacho kitaneemeka.
Move iliyonipa raha zaidi ilikuwa ya kuongeza kozi Makumira na sio uchungaji pekee. Na pale pia watoto wa wakulima walau wanapata elimu!
kwa kifupi ni kwamba, kile chuo mimi ni mmoja wapo wa watu tuliochangia kukijenga, kipindi hicho bado nilikuwa nasali lutheran. nilihama lutheran lakini hadi leo hii bado nampongeza sana askofu mdegella wa iringa kwa kujenga chuo kile na shule zingine nyingi sana kule iringa na mikoa meingine. tulichanga kabisa, na sadaka zilitolewa ndo maana wewe ulienda kusoma pale, hukujua chuo kile kilitoka wapi, ila kwa kifupi ni kwamba hadi masikini wa vijijini walichanga kwaajili ya kile chuo tena kwa moyo bila kulazimishwa na sadaka zetu nyingi zilienda kujenga chuo kile ambacho wanaasoma walutheran, waislam, walokole,wakatoliki etc...pamoja na kwamba waliochangishwa mara ya kwanza na kukijenga chuo kile walikuwa walutheran peke yao...ndo maana tunasema wakristo tunao uwezo wa kujiendesha sisi wenyewe kwasababu tumefundishwa kutoa kwa moyo kujenga shule au hata kusaidia masikini sio kama watu wengine ambao wanaomba majengo ya tanesco ambayo yako tayari waingie kuanzisha chuo...kulialia hadi lini?kama wewe ulifeli vyuo vingine ukalazimika kwenda Tumaini, nani alikwambia ufeli? si ungeenda udsm kama una ubavu? hapo kwenda tumaini ulikuwa unasaidiwa tu kusoma chuo ambacho hukuchangia hata senti moja kukijenga ukijua kuwa pale kile chuo hakina mfadhili yeyote zaidi ya ada hizo na sadaka za walutheran ndo zinalipa malecturer wenu wanaofundisha watu wa dini zote. majengo mapya yatatoka wapi? unafikiri watabaki kulalama tuuu kuomba msaada wasaidiwe na selikali kama watu wengine? noooo, cha muhimu ni kujifunza kuwa na moyo wa kuchangia kujenga kitu kwenye jamii yetu kwasababu kitasaidia watu wetu...acha mkono wa birika, utakufa masikini.hutabarikiwa kwasababu ya kuwa mchoyo kutoa kwa watu wengine au kutoa kwaajili ya ujenzi wa jamii yako.
 
Askofu anahusika vipi na mipango ya chuo? Hiyo ni ada au hela tu ya ujenzi inayolazimishwa? Mada mbona haiko clear!!
Jioni hii nikiangalia taarifa ya habari, lakini cha ajabu ni kuwa Askf. Malasusa alikuwa akililia utawala wa sheria!! Je, anaweza kutuambia nini kilijiri hadi wanachuo wa Tumaini mwaka 2010/11 wakaandamana na hata kufukuzwa chuo kwa kudai haki yao ambayo hadi leo hawajaipata.

Haki yenyewe ndiyo ya kukusanya Tsh. 1,000,000?= kwa mwaka toka kwa kila mwanachuo kwa muda wake wa miaka yote anapokuwa chuoni hapo? i.e 3,000,000/= kwa kisingiziocha ujenzi wa chuo. Je, hayo si mauaji ya kutisha ya watanzania wenzio ambao uchumi wao ni mdogo? Na sasa ni miaka mingi inapita kila mwaka ukikusanya pesa yao na chuo hakijengwi huko Mikocheni, ila mnakula interest kila mwaka. Bora kifo cha mwili kuliko kifo unachowafanyia watanzania wenzako. Kiasi hakipungui na chuo hakijengwi.

Mwogope muumba wako ukatende sawa na sheria za nchi na amri ya 'Usiibe'
 
He kumbe anamaanisha michango inayoombwa kwa ajili ya chuo!!! Kwani mchango unalazimishwa!! Umemjibu vyema. Mimi pia ni Mlutheri na kilipoanza tulikuwa tunatoa sadaka kila jpili na sitegemei kwenda kusoma Tumaini kwani nilishamaliza na mimi napenda degree za UDSM. Nazithamini kweli sijui kwa nini labda kasumba. Huyu hajasoma UDSM ndio maana zero!!!
kwa kifupi ni kwamba, kile chuo mimi ni mmoja wapo wa watu tuliochangia kukijenga, kipindi hicho bado nilikuwa nasali lutheran. nilihama lutheran lakini hadi leo hii bado nampongeza sana askofu mdegella wa iringa kwa kujenga chuo kile na shule zingine nyingi sana kule iringa na mikoa meingine. tulichanga kabisa, na sadaka zilitolewa ndo maana wewe ulienda kusoma pale, hukujua chuo kile kilitoka wapi, ila kwa kifupi ni kwamba hadi masikini wa vijijini walichanga kwaajili ya kile chuo tena kwa moyo bila kulazimishwa na sadaka zetu nyingi zilienda kujenga chuo kile ambacho wanaasoma walutheran, waislam, walokole,wakatoliki etc...pamoja na kwamba waliochangishwa mara ya kwanza na kukijenga chuo kile walikuwa walutheran peke yao...ndo maana tunasema wakristo tunao uwezo wa kujiendesha sisi wenyewe kwasababu tumefundishwa kutoa kwa moyo kujenga shule au hata kusaidia masikini sio kama watu wengine ambao wanaomba majengo ya tanesco ambayo yako tayari waingie kuanzisha chuo...kulialia hadi lini?kama wewe ulifeli vyuo vingine ukalazimika kwenda Tumaini, nani alikwambia ufeli? si ungeenda udsm kama una ubavu? hapo kwenda tumaini ulikuwa unasaidiwa tu kusoma chuo ambacho hukuchangia hata senti moja kukijenga ukijua kuwa pale kile chuo hakina mfadhili yeyote zaidi ya ada hizo na sadaka za walutheran ndo zinalipa malecturer wenu wanaofundisha watu wa dini zote. majengo mapya yatatoka wapi? unafikiri watabaki kulalama tuuu kuomba msaada wasaidiwe na selikali kama watu wengine? noooo, cha muhimu ni kujifunza kuwa na moyo wa kuchangia kujenga kitu kwenye jamii yetu kwasababu kitasaidia watu wetu...acha mkono wa birika, utakufa masikini.hutabarikiwa kwasababu ya kuwa mchoyo kutoa kwa watu wengine au kutoa kwaajili ya ujenzi wa jamii yako.
 
Jioni hii nikiangalia taarifa ya habari, lakini cha ajabu ni kuwa Askf. Malasusa alikuwa akililia utawala wa sheria!! Je, anaweza kutuambia nini kilijiri hadi wanachuo wa Tumaini mwaka 2010/11 wakaandamana na hata kufukuzwa chuo kwa kudai haki yao ambayo hadi leo hawajaipata.

Haki yenyewe ndiyo ya kukusanya Tsh. 1,000,000?= kwa mwaka toka kwa kila mwanachuo kwa muda wake wa miaka yote anapokuwa chuoni hapo? i.e 3,000,000/= kwa kisingiziocha ujenzi wa chuo. Je, hayo si mauaji ya kutisha ya watanzania wenzio ambao uchumi wao ni mdogo? Na sasa ni miaka mingi inapita kila mwaka ukikusanya pesa yao na chuo hakijengwi huko Mikocheni, ila mnakula interest kila mwaka. Bora kifo cha mwili kuliko kifo unachowafanyia watanzania wenzako. Kiasi hakipungui na chuo hakijengwi.

Mwogope muumba wako ukatende sawa na sheria za nchi na amri ya 'Usiibe'

Umetumwa????
 
Askofu Malasusa sio muuaji, na unamfananisha na nani? unaijua historia ya kuchaguliwa kwake baada ya kutokea mvutano mkubwa wa maaskofu kutaka kiti hicho? Mimi ni mLutheri namjua sana wewe mwaga data au usepe

kaka mi nakumbuka, wakati anachaguliwa nikiwa form four, palitokea shida kubwa sana ambayo ilipelekea kuongezewa muda kwa mtangulizi wake Dr. S Mushemba. Nimejitahidi kutafuta hoja ya mleta hoja hata kwa akili za kuchanganya na za mwenzako ila bado naona chenga. Inawezekana huyu ndugu ana point ila hajui namna ya kupresent au inawezekana pia ni kwa sababu ya hasira au amepewa taarifu shalow
 
"Amchukiae ndg yake ni muuaji" Ninaona chuki binafsi kwa Malasusa. Ingawa pia sio yeye peke yake anayepanga ada za hiki chuo. Unapomchukia mwenzako kuwe na sababu au bila sababu ni sawa na kuwa muuaji. Kwa hiyo usimnyoshee mwenzako kidole kimoja wakati vitatu vinakuelekea wewe.
 
Jioni hii nikiangalia taarifa ya habari, lakini cha ajabu ni kuwa Askf. Malasusa alikuwa akililia utawala wa sheria!! Je, anaweza kutuambia nini kilijiri hadi wanachuo wa Tumaini mwaka 2010/11 wakaandamana na hata kufukuzwa chuo kwa kudai haki yao ambayo hadi leo hawajaipata.

Haki yenyewe ndiyo ya kukusanya Tsh. 1,000,000?= kwa mwaka toka kwa kila mwanachuo kwa muda wake wa miaka yote anapokuwa chuoni hapo? i.e 3,000,000/= kwa kisingiziocha ujenzi wa chuo. Je, hayo si mauaji ya kutisha ya watanzania wenzio ambao uchumi wao ni mdogo? Na sasa ni miaka mingi inapita kila mwaka ukikusanya pesa yao na chuo hakijengwi huko Mikocheni, ila mnakula interest kila mwaka. Bora kifo cha mwili kuliko kifo unachowafanyia watanzania wenzako. Kiasi hakipungui na chuo hakijengwi.

Mwogope muumba wako ukatende sawa na sheria za nchi na amri ya 'Usiibe'

Hapa nadhani uelewa wangu ni mdogo sana, huwezi amini bado sijakuelewa
 
kaka mi nakumbuka, wakati anachaguliwa nikiwa form four, palitokea shida kubwa sana ambayo ilipelekea kuongezewa muda kwa mtangulizi wake Dr. S Mushemba. Nimejitahidi kutafuta hoja ya mleta hoja hata kwa akili za kuchanganya na za mwenzako ila bado naona chenga. Inawezekana huyu ndugu ana point ila hajui namna ya kupresent au inawezekana pia ni kwa sababu ya hasira au amepewa taarifu shalow
Malasusa hakuwepo kwenye kinyang'anyiro hicho, walikuwepo wengine ambao walifungana na kusababisha mtafaruku wa kundi hili linamtaka huyu na hili linamtaka yule ndio akaongezwa Malasusa, akamaliza ubishi. KKKT ni kanisa langu na Malasusa kamaliza Gomvi / Malumbano mengi km utakumbuka Jimbo la Same /Mwanga Jimbo la Meru, Jimbo la Dodoma
Yaani ukiona mpaka chaguzi zinaingiliwa na Serikali ujue kunakitu hadi uchawi unatumika lakini kwa Malasusa No
Tukirudi kwenye Mada huyo jamaa yeye achangie akishindwa aache sio lazima apate Stashahada ya malalamiko
 
Jioni hii nikiangalia taarifa ya habari, lakini cha ajabu ni kuwa Askf. Malasusa alikuwa akililia utawala wa sheria!! Je, anaweza kutuambia nini kilijiri hadi wanachuo wa Tumaini mwaka 2010/11 wakaandamana na hata kufukuzwa chuo kwa kudai haki yao ambayo hadi leo hawajaipata.

Haki yenyewe ndiyo ya kukusanya Tsh. 1,000,000?= kwa mwaka toka kwa kila mwanachuo kwa muda wake wa miaka yote anapokuwa chuoni hapo? i.e 3,000,000/= kwa kisingiziocha ujenzi wa chuo. Je, hayo si mauaji ya kutisha ya watanzania wenzio ambao uchumi wao ni mdogo? Na sasa ni miaka mingi inapita kila mwaka ukikusanya pesa yao na chuo hakijengwi huko Mikocheni, ila mnakula interest kila mwaka. Bora kifo cha mwili kuliko kifo unachowafanyia watanzania wenzako. Kiasi hakipungui na chuo hakijengwi.

Mwogope muumba wako ukatende sawa na sheria za nchi na amri ya 'Usiibe'
Hata husomeki,
 
Huyu askofu Mdegella wa Iringa alimaliza ugonvi wake na waumini waliotaka awaachie diocesis yao?
 
Back
Top Bottom