Babuu blessed
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 1,362
- 490
Jwtz? Police? mgambo?
Huyo mwandishi haeleweki, ni shabiki au kaja bapo kama nani? Nashauri aisaidie polisi katika uchunguzi
Nyie wagen sana hapa jukwaani Pdidy yupo kabla wewe aujaanza kuijua jf.siku hizi ndio atokei mara kwa mara ,kwa ilichapisho amejitahidi sana kuandika hadi ameeleweka ...msipoteze muda kutumia akili kubwa kutaka kuelewa kila chapisho la jf wakati mwingine inaweza kuwa ni ndoto au hadithi ya PdidyMpumbavu sana hata haeleweki