Askari wawili wachomwa visu, Wakimbizwa Hospitali ya Massana

Jwtz? Police? mgambo?
Huyo mwandishi haeleweki, ni shabiki au kaja bapo kama nani? Nashauri aisaidie polisi katika uchunguzi
Mpumbavu sana hata haeleweki
Nyie wagen sana hapa jukwaani Pdidy yupo kabla wewe aujaanza kuijua jf.siku hizi ndio atokei mara kwa mara ,kwa ilichapisho amejitahidi sana kuandika hadi ameeleweka ...msipoteze muda kutumia akili kubwa kutaka kuelewa kila chapisho la jf wakati mwingine inaweza kuwa ni ndoto au hadithi ya Pdidy
 
Jela inawahusu hao wahalifu waliowachoma visu askari,wajiandae tu maana hawachomoki kwenye hili kwa namna yoyote. Polisi hawezi kukubali kushindwa na mhalifu aliemdhuru polisi mwenzie, hao ni moja kwa moja wapo ndani ya 18. Halafu kama tuna chuki na askari inabidi tuwachukie askari ambao wanaenda kinyume na Professionalism na sio kila askari. Binafsi ninawafahamu askari polisi wengi tu ambao ni wastaarabu wazingatia taaluma yao ya upolisi
Hao Askari walikiwa wanataka kumuibia mzungu. Wakamkuta mzungu ni komandoo wakala visu. Nawashauri waendelee kuonea wananchi Wa kawaida na sio wanaojielewa.
 
Masana ni hospitali ya hovyo, wamepelekwa maadui wa jamii nadhani watakutana na jambo gumu.
 
hao wanaozingatia professional hawapokei order au wao huchuja order za wakubwa wao
Jela inawahusu hao wahalifu waliowachoma visu askari,wajiandae tu maana hawachomoki kwenye hili kwa namna yoyote. Polisi hawezi kukubali kushindwa na mhalifu aliemdhuru polisi mwenzie, hao ni moja kwa moja wapo ndani ya 18. Halafu kama tuna chuki na askari inabidi tuwachukie askari ambao wanaenda kinyume na Professionalism na sio kila askari. Binafsi ninawafahamu askari polisi wengi tu ambao ni wastaarabu wazingatia taaluma yao ya upolisi
 
Inauma sana sana jamani kuna askari wawili wamepigwa visu na wameletwa Hospitali ya Masana njia ya goba

Imetoka ushauri wapelekwe Muhimbili wanavuja damu zaidi ya nusu saa sasa wapendwa

Msaada wenu pls maana ndugu wanasema wameambiwa inaletwa ambulance ya jeshini

Mungu awatie nguvu uangalii mara mbili wako na sare zao za jeshi.

Polen sana wapendwa wanaowahusu

--------
Mungu n mwema jamani naona ambulance imekuja hakuna nurse wa kwenda nae

Ndugu naona wamejitolea kulipia, Massana jamani nini shida hata nurse kuwaokoa hawa watu hakuna!

Gari ina dakika kumi nje ya ya hospitali na hakuna nurse

Ndugu wanaropoka mapokezi kila kona wanataka nurse kwenye gari

Wahusika wa Massana nini shida nurse ku-escort gari hakuna?
polisi au askari magambo?
 
Back
Top Bottom