Askari waliomteka Ulimboka ni wazalendo wa kweli

Siwezi kukubali propaganda hizi. Yaani serikali iamue haswa kumteka na kumuua Ulimboka ndo ifanye madudu hayo, kama ingekua ni serikali mambo haya yangekuwa kimyakimya. Mimi nahisi ni wenyewe kwa wenyewe hawa, walihisi Ulimboka anawageuka kwa kuisikiliza Serikali, ndo hasira zao wakafanya hiyo issue ya kijinga
 
Kiongozi wa madaktari kufanya kikao na watu asiowajua?? au alikuwa anafikiria atapewa mlungula?

Mimi nina wasiwasi sana na huyu dokta Ulimboka!

Kipo kitu nyuma ya pazia, ngoja tuendelee kuona movie hii itaishia wapi
 
Kiongozi wa madaktari kufanya kikao na watu asiowajua?? au alikuwa anafikiria atapewa mlungula?

Mimi nina wasiwasi sana na huyu dokta Ulimboka!

We maundumula, wewe na mimi na wengine ndo hatuwafahamu, ila Dr. Uli anawafahamu ndio maana alikwenda kuongea nao.
 
Haiingii akilini kwa binaadam yeyote mwenye fikra japo kidogo, eti Serikali wakuchukuwe, wakupige, wakutupe Mabwepande halafu waje haki za binaadam kukuota.

Taarifa za kukamatwa Dr,zilijulikana tangu ucku na kazi ya kumtafuta zilianza mara moja,walikuwepo madr 2 na wanaharakati,saa 12 asb wakajulishwa dr yupo kituo cha polisi tegeta,walipofika wakakuta hakuna msaada wowote unaotolea,hata maji ya kunywa.Wakamchukua kwenda muhimbili.
 
Kwa miaka miwili kutoka 2010 nimepata kujua majukumu mapya ya jeshi la polisi kama vile kuwapiga mabomu machinga,kupambana na wanafunzi wa vyuo vikuu wanapodai haki zao,kushiriki katika vitendo vya kuua wanaharakati na kuwapiga mabomu wananchi wakiandamana kwa amani
 
Hawana uzalendo wowote. Kama wewe ni askari umeambiwa kamuue mtu, jibu ni kuwa hapana kuuwa watu haimo kwenye maelekezo yangu ya kazi. Dr. Ulimboka, Kyala aikuupoka bho ngamu jako jikunsuma kyala ukuti akupokeghe.
 
Siwezi kukubali propaganda hizi. Yaani serikali iamue haswa kumteka na kumuua Ulimboka ndo ifanye madudu hayo, kama ingekua ni serikali mambo haya yangekuwa kimyakimya. Mimi nahisi ni wenyewe kwa wenyewe hawa, walihisi Ulimboka anawageuka kwa kuisikiliza Serikali, ndo hasira zao wakafanya hiyo issue ya kijinga

Mkifikiri mna mitutu na bunduki kama silaha ya kuua watu, waulizeni wamarekani kwa nini wanaogopa biological weapons zisitumike kwenye vita. Ulizeni hao madaktari wakitaka kutumia wanachotumia kuwatibu wakitumie kama silaha yao tuone ni nani atashinda.

Kama aliyetumwa aliambiwa kuua na yeye akafeli tena mara mbili, basi huenda huyo mjamaa eshatangulia ahera maana kule hakuruhusiwi kufanya makosa, au nakosea Ritz?
 
Kwa mtizamo wangu sidhani kama Serikali inaweza kufanya ujinga kama huu. Kutakuwa na genge la wahuni limehusika kwa ajili ya kuichafua serikali. Serikali wangemchukua na kumficha somewhere kwa muda flani tu then yeye baada ya kutoka huko angetangaza kuisha kwa mgomo kwenye maisha yake yaliyobaki

Mzazi vyombo vya ulinzi na usalama kumejaa mazuzu kama Pinda na Membe wanaweza kufanya hivyo walijua wamemalia kazi? yaani hata kuua kwaufasaha wameshindwa hii imekula kwao!
 
Taarifa za kukamatwa Dr,zilijulikana tangu ucku na kazi ya kumtafuta zilianza mara moja,walikuwepo madr 2 na wanaharakati,saa 12 asb wakajulishwa dr yupo kituo cha polisi tegeta,walipofika wakakuta hakuna msaada wowote unaotolea,hata maji ya kunywa.Wakamchukua kwenda muhimbili.

Hii yako version nyingine na mpya kabisa, moja huko kaokotwa porini Mabwepande, nyingine kaokotwa na haki za binadaam, nyingine kaokotwa na wasamaria wema.

Kuweni wa kweli, hajafumaniwa huyo?
 
inahuzunisha, tukio kama hili kutokea kwa sisi tunaojiita kisiwa cha amani, kwa nini Dr. Ulimboka ajeruhiwe sasa wakati madaktari wakidai haki zao na yeye kuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa katika madai hayo. Waheshiwa wabunge Kiwia na Machemli waliposikiaa habari hii nadhani watakuwa watu walioumia zaidi kwa sababu sisi waswahili tunasema msiba usikie kwa mwenzako usiombe ukukute.
 
Hii nchi imefika pabaya. Baada ya watawala kuishiwa hoja anaanza kutumia plan B yaani kuangamiza roho za Watanzania wanaopigania haki za wanyonge katika nchi hii. Watambue kuwa Ulimboka anaungwa mkono na Watanzania walio wengi. Hawataweza kuwanyamazisha.
Maelekezo waliyopewa ni kumuua DR Ulimboka, Lakini wametumia uzalendo wa hali ya juu kwa kujifool kwamba walijua wamemmaliza DR na kumtupa maporini.

Hata wao wanapigania makombo kama sisi, wanahitaji pongezi, sababu hata wao kama ambavyo DR anagugumia kwa maumivu na wao wako kwenye wakati mgumu kutoa maelezo ya kushindwa kutimiza wajibu wao.
 
Back
Top Bottom