Askari wa Nigeria waua watu "execution style" [Video]

that is disgusting for sure! nothing of that sort should be accepted in any civilized community
 
kwani walipouwawa walikua manaswali Misikitini.....?
serikali ya Nigeria ikaze uzi, hawa ni magaidi, wanauwa wenzao....safi sana, jino kwa jino hiyo. akiuwa auwawe. akibaka abakwe.
 
This is horrific ............... ( not let me find proper word first)... I cant describe this acts...

why are these ppl are assassinated? what have they done to deserve this?
 
Naifungua niangalia lakini du!! isije kwetu Kheri inji hii iliwe na mafisadi kuliko hivi!!!
 
Ok, religion shyt.

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=DrjWcqWnk6A&feature=related"]YouTube- Talib Kweli - Hell (HQ)[/ame]
 
Hivi kwanini kila kukicha ni mauaji ya waislamu,ughaidi waislamu,maandamano waislamu,mahakama ya kadhi waislamu yaani wanaonyanyaswa hapa duniani ni wao tu!please embu wekeni mambo yenu sawa jamani mie sipendi kuongelewa ninyi tu kila kukicha!mungu hapendi hivyo!jitahidini tuishi kwa amani kama enzi za mwalimu mbona waislamu waliosoma hawana tabia kama hizo!mimi nipo uarabuni muscat lakini kupo shwari sana yaani waislamu na wakristo tunaishi kwa raha kabisa na kuheshimiana!na hakuna malalamiko!
 
There is a historical behind all of these, habari inaanzia kwa babu ishmael.., tabia za ishamael ndiyo tabia typical za kiislam
 
Nenda kwenye State husika, utaelewa what they did hawa B H.

Anyway, I don't think a killer needs a trial? The beheaded people is more than tangible evidence.

Max , what is exactly the problem? I dont get it, kwa nini wanauawa? ni wale waislamu magaidi au? na kwa nini ile sehemu nyumba zilibomolewa
 
Back
Top Bottom