Askari mgambo na Askari kanzu BIG UP.

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,726
19,869
:Aise askari mgambo wakishirikiana na askari kanzu waliokuwa wamejichanganya na waandamanaji wamefanya kazi nzuri sana.Nilichogundua kumbe FFU na police wameshazoeleka na hawa waandamanaji.KAMA NINGEKUWA NATOA POSHO WAGAMBO NINGEWAPENDELEA SANA.
Source: mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye tukio.
 
Wawili wamekamatwa Zenji na kuchinjwa kama kuku, alijichanganya vibaya, sasa kawapatie posho familia yake, na dhani ufisadi uliofanya TRA hela unayo ya kusaidia hii familia
 
Nani asiyekujua kama wewe ni Zimwi wa jf.Sibishani na mvaa vipedo a.k.a Alsha bab.
 
kuna picha moja ya mgambo m/mke nimeona anamchezea mhuni virungu, nilisikia faraja.
wakiwezeshwa wanaweza
 
kazi nzuri kwa jeshi la polisi kwa dar zanzibar na hata nyololo maana mkaidi hafaidi mpaka ck ya idd
 
Nani asiyekujua kama wewe ni Zimwi wa jf.Sibishani na mvaa vipedo a.k.a Alsha bab.

Nawashauri mkipata hizo posho za zawadi kwa hao mgambo askari kanzu na FFU Nitafuteni ili nikamgawie na ule wa NYOLOLO Alietimiza kazi ya FFU Vyema pia zitakazo baki niwapeleke wafiwa wa BUBUBU Zenji
 
Wamekoma,niliona wavaa vipedo wengi wakipaa kama Usain Bolt.
Mgambo kumbe wakali vile? Wale wa 'mabakamabaka' hata kwenye gari hawakushuka!
 
kwa walio kamatwa!nahofia pia kukamatwa wasio husika make watu walikuwa wanakimbia ovyo!labda niulize walikuwa wanaangalia nn hasa mpaka kuhisi kuwa huyu anahusika moja kwa moja na maandamano?
 
Aisee nilicheka sana mgambo walivyopewa amri tu walitoka nduki mbele kwa mbele ni kamata piga mitama,vibao na kelbu za kutosha ila kilichoniacha hoi ni kuvamia masufuria ya wali kwa mama ntilie wakasahau wahuni wafanya fujo...kwi kwi kwi kwiiii...kweli jasir haachi asili.
 
Askari kanzu walichanganyika na waanda manaji ndio waliokuwa wakipembua kipi mchele kipi pumba.Karibia wote waliochukuliwa ni wahusika.Tatizo ni ujuha wao watu walitake cover kwenye jengo fulani ili mgambo wakitoka walianzishe Askari kanzu waka UNCOVER MAFICHO MBONA PAKAWA HAPATOSHI.
 
Basi peleka huja zako za kipuuzi kanisani, usilete hapa < Kikojozi weeee

We ni mzoga unaetembea upo tu kwa suport ya majini alafu unaelekea we ni mganga wa kienyeji mwenye dhiki kuu iliyopelekea kukutoa akili.HURUMA ZANGU ZA DHATI ZIKUFIKIE EWE MSIBA DR.WHO.
 
Walitaka waete za kuleta wametandikwa wametuliza masaburi yao maisha yanakwenda
 
Aisee nilicheka sana mgambo walivyopewa amri tu walitoka nduki mbele kwa mbele ni kamata piga mitama,vibao na kelbu za kutosha ila kilichoniacha hoi ni kuvamia masufuria ya wali kwa mama ntilie wakasahau wahuni wafanya fujo...kwi kwi kwi kwiiii...kweli jasir haachi asili.

Wavaa vipedo walipigwa mashuti hadi wakawa wanakimbilia difenda wapande hakuna aliyejifanya jeuri.Ilikuwa akikamatwa tu anaitafuta defenda na kuikimbilia fasta.Utafikili usafiri wa daladala kwenda Gongo la mboto au Mbagala mida ya jioni.
 
Walitaka waete za kuleta wametandikwa wametuliza masaburi yao maisha yanakwenda

Aisee ukiwacheki kwa muonekano unagundua wengi ni wale wameshindwa maisha,wadogo ki umri ila wamezeeshwa na shida sijaona mwenye hadhi ya wale wenye miradi na maduka makubwa Kariakoo.
 
We ni mzoga unaetembea upo tu kwa suport ya majini alafu unaelekea we ni mganga wa kienyeji mwenye dhiki kuu iliyopelekea kukutoa akili.HURUMA ZANGU ZA DHATI ZIKUFIKIE EWE MSIBA DR.WHO.

Usibishane na hao jamaa mkuu hawachelewi kuvaa mabomu na kujiita 'wafia dini'
 
Back
Top Bottom