Askari mgambo na Askari kanzu BIG UP.

Usibishane na hao jamaa mkuu hawachelewi kuvaa mabomu na kujiita 'wafia dini'

Kama hujui hawa ni watu dhaifu sana humu kwenye jamii yetu bomu walipate wapi.KUJILIPUA NA KUFANYA UGAIDI KUNAHITAJI MTAJI:/capital.
 
kuna picha moja ya mgambo m/mke nimeona anamchezea mhuni virungu, nilisikia faraja.
wakiwezeshwa wanaweza
Daah, na waisilamu wanavyowadharau wanawake, sijui jamaa anajisikiaje huko rumande akikumbuka virungu alivyochezeshewa na mgambo mwanadada!
 
Hivi ndugu zangu waislamu mbona tunaenenda kinyume na mafundisho ya marehemu mtume mohamed (s.aw) rehema na aman zimwendee
 
Hivi ndugu zangu waislamu mbona tunaenenda kinyume na mafundisho ya marehemu mtume mohamed (s.aw) rehema na aman zimwendee

Jaribu kuwahasa ila nina hofu kama watakuelewa.
 
Wavaa vipedo walipigwa mashuti hadi wakawa wanakimbilia difenda wapande hakuna aliyejifanya jeuri.Ilikuwa akikamatwa tu anaitafuta defenda na kuikimbilia fasta.Utafikili usafiri wa daladala kwenda Gongo la mboto au Mbagala mida ya jioni.
Mmmmh!!Japo inasikitisha ila haya mambo yanendana na elimu dunia pia,hivi walichokuwa wanakipigania ukiwauliza watajibu nini???
 
Back
Top Bottom