Hataree
nimeipata hii kwenye kipindi cha LEO TENA cha Clouds.
Kuna mbeba box mmoja kasema vijana wa kiume kutoka Afrika hasa Tanzania, wamaolewa (mashoga) kwa sababu ya ugumu wa maisha.
Natamani kusikia kutoka kwa wabeba box wenyewe tetesi hizi, maana nina vijana naotamani waende huko kusoma umri utakapotimia.
Hebu naombeni ufafanuzi.
Mzazi mfurukutwa.
cc Rais wa wabeba box Nyani Ngabu
Hataree
Kuolewa kulikozungumziwa ni kwa mwanaume kuoa ili apate karatasi.....sioni kama kuna tatizo,maana jamaa ataweza kuishi kihalali na kufanya kazi yeyote bila kupata kashkash za uhamiaji....tatizo liko wapi?