Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

Haiingii akililini km marehemu alienda kwa Asha kwa hiari yake. Ikumbukwe shimo lilichimbwa kabla happiness hajafika hapo nyumbani kwa asha
 
Mtambuzi,vipi sasa hatima ya kunyongwa kwa mkosaji Asha alisha nyongwa au bado yupo kwa gereza,so sad kwa kweli unamuu mwenzako kisa mapenzi.
 
Agnes Doris Liundi v Republic [1980] TLR 46.

Kwa wale watakaopata muda wa kusoma report hiyo ya kesi watapata kila kitu humo.
 
Nitaitafuta...........Pia ninayo ya ALI MAUMBA, yule fundi cherehani aliyefungwa kwa kuvinajisi vibinti pale Shule ya Mtendeni......Sijui wengi wanaikumbuka hii kesi!
Ukiipata ya Babu Seya na wanae itakuwa safi sana. Hii kesi ina vijimaneno vingi sana sasa ni vema imwagwe hadharani tuu


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
pole mama Asha, but kwa mujibu wa sheria hujaonewa, the case was proved beyond reasonable doubt. However, naitafuta siku ile ambapo msababishaji wa yote kama Dr Haule kusaliti ndoa yako waziwazi na kuwa sababishi la yote hayo, itakapo amuliwa naye pia ahusishe kwanamna moja au nyingine kusuffer consequence ya kilicho tokea...
 
Huyu Dr Haule ana matatizo makubwa na ni mtu asiyekuwa na Utu kwa sababu kwenye kesi ya Agnes Liundi yeye ndiye aliyesema Alielezea juu ya kipindi kigumu cha maisha ya ndoa ya mtuhumiwa alichopitia, jinsi maisha yake ya ndoa yalivyokumbwa na misukosuko ya kutoelewana na mumewe.

Nafasi aliyokuwa nayo, maisha aliyopitia utotoni na jinsi alivyokuwa akimtegemea na kumtii mumewe. Dk. Haule, alikuwa na maoni kwamba, kitendo cha mtuhumiwa kuamua kujiuwa na kuwaua wanae, aliamini kwamba, alikuwa amemriwa na mumewe afanye hivyo.

Alisema kwamba, alisoma barua zilizokuwa zimeandikwa na mtuhumiwa kabla ya kutekeleza mauaji hayo lakini barua hizo hazikuweza kubadili maoni yake juu ya jambo hilo.

Cha ajabu baada ya Dr Haule kuona impact ya kukosa uaminifu katika ndoa na hivyo kuleta mafadhaiko makubwa katika familia eg familia ya Liundi, yeye alifanya cheating ya ndoa yake na madhara yake ndo hayo,
Jamani sisi wanaume tuna tatizo kubwa sana na kupenda hiyo plastic isiyoisha
 
Kama ni hivyo basi wastahili sifa na pongezi kwa jitihada zako zilizopitiliza kujifunza sheria kama raia mzalendo wa nchi yako. Big up sana Mtambuzi
 
Hii kesi nimeikumbuka tena, nilikuwa bado kijana sana nikiwa chuo kikuu.

Mtoa mada kaiandika kwa ufasaha sana. Sina uhakika kama yule mama Asha alinyongwa kweli au vipi, kwani wakati wa Nyerere watu walikuwa hawanyongwi; death warrants zao zilikuwa zinaishia kwenye desk la rais tu ambako zilikuwa hazisainiwi na hivyo kubaki jela maisha.

Ila kama death warrant ya mama huyu ilikwenda kwa Mwinyi basi huenda alinyongwa kwa vile Mwinyi alisaini death warrants zote zilizofika kwenye desk lake.
 
Nyc stori tupe y simbaulanga ile y kuiba 50m miaka ya 80.cz ilikua big story ila naskia alitoka huyo mama cz hela ilifanya kazu, 50m z nbc miaka hiyo ni bilionea hakimu au jaji akufunge atakua mjinga cz maisha yalikua tyt
 
Wakati huo mama angu alikuwa secondary. Duh, aisee Mtambuzi unajitolea sana

Ndo naiona hii kesi leo, kama kuna nyingine zimenipita basi naomba atleast ucoment zije juu nizione
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom