Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

Inapatikana pharmacy matumizi yake ni ukianza SIKU zako unahesabu SIKU ya kwanza hadi ya tano unaaza kutumia kidonge 1 kwa muda wa siku 5 . baada ya hapo unakutana SIKU ya 11 had I ya 17
 
Hongera sana ni jambo jema nimesoma ile thread ya kwanza ukiona watu walivyoongea vibaya ni jambo la kumshukuru Mungu songa mbele ila naomba uangalie afya katika kula vyakula bora hasa vyenye madini ya chuma kwa mwingi ( kama hayo maini, matembele na mayai ya kware na sio mbaya miezi ikisogea kuongezea na dawa kama damu itakuwa sio nzur) vile viel kupumzika vya kutosha ili BP isipande na ni vyema kuangalia level za hormone zinazomsaidia mama mjamzito zimekaaje nazo. Nakutakia kila la heri sasa kuwa karibu na wale wadaktari wakina mama ni vizuri zaidi. Mungu akutunze na kukulinda
 
Back
Top Bottom