Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

asante ndg yangu kwa kunipa moyo na kunirekebisha kauli...unajua naumia sana kwa mtihani huu nakuomba uniombee namimi nifanikiwe ndg yako.

In Shaa Allah Mambo yatakaa sawa utayaona mepesi tu muda ukifika
 
Shosti niinbox mwenzako bado nina msiba huu ndg yangu bado sijafanikiea pliz tuwasiliane kwa inbox unisaidie na mie pliz

Mola Muumba wa kila kitu, apokee maombe haya...
Akujaalie kizazi chenye kheri na wewe. Amin amin.....
 
SimamaNA Mungu sana sana sana
Wakati wa kumdhirisha Mungunatoenkiumbe chake wakati muafaka...dini yetu wanasema kuna vitu vinaitwa kisasi
Kemea nankataa kwa dini unayoiamini..wapo wasioifurahia jambonhili ila kwa damu ya Yesu
Namhifadhi mama na mtoto na visasi vya ukoo,familia,ndugu,jamaa,majirani,marafiki wala visiwaguse
Mpaka atakapokuja duniani

Mungu natangaza mtoto kuja mud a muafakanmiezi Tisa sharp,,,lolote bay a liliongelewa juu yakee nageuza kwa dameu ya Yesu

amina nashukuru sana nimesimama imara kwenye imani. asante kwa kuniombea Mungu wetu ni mwenye huruma nina mwamini nitafika salama
 
Sidhani kama amekosea kutokana na furaha aliyo nayo,
nilimsaidia dawa na amekuja kutoa shukrani jamii forum kwa kuwa ndipo alipokuja mara ya kwanza akapata ushauri na dawa pia,
Sijakuelewa! Mimba kakupa mtu au dawa? Mi naona mshukuru mungu na huyo aliyekushughulikia. Otherwise kama nawe upo kibiashara maana naona kama promo. Mtu akusaidie tatizo kama hilo halafu mbio unakuja kuandika hapa halafu kesho ndio umpigie? Hopeless!
 
Xian hongera, imani katika chochote ukifanyacho ni nguzo ya mafanikio,
wapo wanaosema ni promotion na maneno yasiyopendeza,
usizingatie hayo zingatia lengo lako,
binafsi nilishasahau kabisa.
Mungu akupe Nguvu pia nashukuru kwa kuwa Mwaminifu na kurudi kushukuru.
 
Last edited by a moderator:
Shosti niinbox mwenzako bado nina msiba huu ndg yangu bado sijafanikiea pliz tuwasiliane kwa inbox unisaidie na mie pliz

Dawa za kimasai zitaendelea kuwa juu siku zote kwani wahanga ni wengi zaid ya tujuavyo.....pole sana mdada.
 
Xian hongera, imani katika chochote ukifanyacho ni nguzo ya mafanikio,
wapo wanaosema ni promotion na maneno yasiyopendeza,
usizingatie hayo zingatia lengo lako,
binafsi nilishasahau kabisa.
Mungu akupe Nguvu pia nashukuru kwa kuwa Mwaminifu na kurudi kushukuru.

asante sana
 
nilishawahi kufanyiwa operationa ya sisti( sorry siwezi kuandika kwa kizungu hiyo sisti) nikiwa fm four 2005 na niliambiwa ovary yangu iliharibika na kutolewa ikabaki moja nayo ikawa nusu mbovu, miaka imeenda nimeolewa naafua mtoto hakuna ndio nikashauriwa kupima, mrija mmoja nilio baki nao ukaonekana umeziba wote tena karibia na kizazi, doctors wakasema haifai kusafisha wala kunifanyia operation itakuwa wananisumbua tuu kwani imekaa vibaya sana. ndiyo nikashauriwa kupandikiza na gharama yake ilikuwa 12 - 15 m julai ile hiyo hela kwangu ilikuwa kama mitihani ya board ilikuwa ngumu sana hivyo nikaja kuomba msaada hapa wa mawazo. ndiyo ilivyokuwa hivyo kaka

Duh! najua umepata faraja wewena mumeo kwa kupata ujauzito. Halafu hiyo gharama uliyoitaja 12-15 ni kiasi gani cha fedha?
 
Xian hongera, imani katika chochote ukifanyacho ni nguzo ya mafanikio,
wapo wanaosema ni promotion na maneno yasiyopendeza,
usizingatie hayo zingatia lengo lako,
binafsi nilishasahau kabisa.
Mungu akupe Nguvu pia nashukuru kwa kuwa Mwaminifu na kurudi kushukuru.

human being is complex being hongera kwa msaada wako uwe na moyo huo huo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom