miss IQ
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 846
- 1,186
Huyu siogopi maana nafsi yangu imekubali kiroho safi, muda wote ananitumia jumbe na video za mahubiri za pastor Chris

Zinaishaga kama movie vile pia, ila kila la kheri mkuu katika dimbwi zito la mahaba na mrembo huyo.Hello Umofia kwenu!
Niende kwenye maada, baada ya kuwa na ubize mwingi sana nikiwa katika mizunguko yangu hapa Dodoma hatimaye, Mungu kanikutanisha na mwanamke ambaye ameniipenda siku ya kwanza na ametoa machozi ya mapenzi.
Akiwa na mdogo wake wa kike mwenye umri wa kati 22-24, yeye ana 28yrs hakika hii pisi sijui imeona malaika gani ndani yangu.
Mrembo kaja kanibusu kanikumbatia hapa Nyerere square mida ya saa 5 asubuhi ilikuwa ni kama movie.
Mwanamke mrembo sana, sijaelewa maajabu ya Mungu huyu wa Isaya, Yakobo na Ibrahim,
Binti mrembo anaitwa Yohania, amenipa zawadi ya biblia, smart watch, key holder moja kali.
Kwenye kuagana amenikiss kiganjani, kanipa business card yake, anafanya kazi kitengo cha mambo ya fedha, ana CPA.
Nimestaajabishwa sijielewi nafikiria sijui nifanyeje, ananihitaji haraka kwa maongezi maeneo Fulani ya DSM Friday next week,
Nimebaki maswali je ni mwanamke wa kweli au jini au katumwa, ila sasa mwili wangu haujasisimka maana mimi anything bad huwa napata senses aidha miguu au mikono inapata ganzi au nyewe zinasisimka.
Maombi yenu tafadhari my love of her first sight amepatikana, mtanisamehe kwa maamuzi hasa mabaharia na chama letu na agank letu.
Nikisaliti chama la mabaharia wenye kiapo cha kutokuoa ntalipa fine kianzio fine ntatoa laki5.
Maombi yenu, duwaa jamani binti mrembo wa kisandawe kanipenda sana.
Wadiz
Wabillahi Tawfiq
Eti soko la ndoa, au tuseme Industry ya ndoaKuna wachungaji wanafundisha mbinu za kivita,anyway utampa huyo sister hongera kwa excution makini.Soko la ndoa gumu sana,akili ya ziada inahitajika
Huyu ni Mh wa kibaha..ashaachwa na Joan mwenye hiyo CPAUliposema kusema ana CPA na anapofanya kazi ndo nikajua unahitaji mtu mzima wakukusaidia kuchagua mke..
hapo umepigwaHello Umofia kwenu!