Asante kwa Award

tukimaliza kazi tutavalishwa taji,
tukumalila twimbombo twiza ku vwala indiga''''''''''''''''''''''''
redcard, Asante na nimeipenda hiyo lugha hapo pamoja na kwamba sijajua maana yake but am sure ni kwa wema tu
 
haya hongra nyie si najua wabongo kwa kupeana wenyewe kwa wenyewe na sie wanakijiji mutukumbuke hata zawadi ya majani ya chai wa mjini kuleni sosag
haya tambueni mie nipi village natumia local laptop ya bibi screen ungo
Conquest
 
upele, asante, na si kitambo kirefu nawe utapeana
 
kumbe nilishawahi kushinda tuzo hapa JF, aisee, wacha nifanye annivessary na mie, sio mpaka nipate kilimanjaro award
 
kumbukumbu zina maana yake duniani, na mimi leo naipata maana yake
 
Back
Top Bottom