ARUSHA: Watoto wawili kati ya wanne waliokuwa wametekwa wapatikana wakiwa wamekufa

Nimekosa cha kuongea.
Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.
Amen
 
Hivi binadamu wa aina hii anastahili kufungwa kweli? Mimi kwa upande wangu ninaona adhabu anayostahili ni kuninginizwa kichwa chini miguu juu mpka anakufa. Kumkata kumkata miguu na mikono na kumuachia ili iwe fundisho na kwa wengine wenye mawazo ya kufanya vitendo vya kikatili kama hivyo. Inaumiza sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini huyu mpuuzi atatunikiwa hati ya kwanza ya kifo kusainiwa kwa mkono wa JPM. Binadamu wa aina hii ana faida au sababu gani kuachwa aishi. Kabisa mtu unakosa the least sense of humanity? Dah!
Kwakweli rais akifanya hivyo nitamsifu sana sion sabb ya kutomtunukia zawadi inayomstahili, kunyongwa hadi kufa maana kumuweka gerezani naona kuwa si adhabu stahiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi binadamu wa aina hii anastahili kufungwa kweli? Mimi kwa upande wangu ninaona adhabu anayostahili ni kuninginizwa kichwa chini miguu juu mpka anakufa. Kumkata kumkata miguu na mikono na kumuachia ili iwe fundisho na kwa wengine wenye mawazo ya kufanya vitendo vya kikatili kama hivyo. Inaumiza sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena adhabu yake itangazwe hadharani kwamba kahukumiwa kunyongwa..na akinyogwa tuambiwe watu wajue wajifunze...wakifanya kimya kimya watu watahis utani mtu katupwa tu jela...
 
Matukio ya kinyama kama haya ndio huwafanya baadhi ya watu kujichulia sheria mkononi.
 
Mapicha ya kihindi hayajaanza leo... Huyo ana akili mbaya tu. Sijui ni ugumu wa maisha watu wanatafuta shortcuts au ndio ile wahenga wa Ulaya wanasema "an idle mind is a workshop of the Devil"... Hatujishughulishi tunataka tukae sehemu halafu tuletewe pesa. Kuna watu inabidi washukuru sana mi sio judge, ningekuwa na hukumu za ajabu sana.

"A voice of one calling in the wildernes"
Hii ya vijana kukaa idle inachangia sana kuleta uovu.
Lkn kuna sababu ya kurudia nyuma kutumia ule mfumo wa kuhakikisha kila balozi anawafahamu watu wake na mgeni akitokea aripotiwe kwa balozi haraka iwezekanavyo.
Huyu kijana mtekaji alikuwa ana kaa kwa kaka yake ambaye ni ffu hivyo hakuwa na kazi anayofanya.na inaonekana hii tabia alikuja nayo kutoka huko kwao kwani inasemekana ni mwezi wa 6 ndio kaja kwa huyo kakake.Na kuna matukio ya wizi wa udokozi ulisharipotiwa hapo wanapoishi tangu afike hapo.
Sasa hilo kundi la vijana wenzake waliokuwa wanakaa idle nae lazima kasha walisha hiyo sumu hivyo ka kila sababu ya hilo kundi la wakaa bure vigengeni!
 
Hivi wananchi wa Arusha kwanini msiwamalize hawa watu polisi wakifika tayari wamesha rest in peace??????? Nimetoa machozi kwakweli hivi hawa watu watanzania au, kwanza polisi tunaomba wachunguze uraia wao, wanaweza wakawa sio watanzania hawa. Watoto hawana hatia wameuliwa.
 
Yaani kuna viumbe wengine hawana hata roho ya huruma,kweli kabisa ameamua kuwahujum malaika hawa roho zao pasipo sababu!kwakweli adhabu kali ichukue mkondo wake,ili iwe fundisho kwa wenye akili kama zake.
 
Back
Top Bottom