Kamachumu, Muleba: Msafara wa M/Kiti wa UVCCM Kagera waua watoto wawili

A

Anonymous

Guest
MSAFARA WA FARIS WAUWA WATOTO WAWILI KAMACHUMU MULEBA.

Msafara wa Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Biruan umewagonga na kuwauwa watoto wawili huku wengine wakijeruhiwa.

Ajali hiyo imetokea Kata Kamachumu wakati kiongozi huyo akitoka kwenye ziara yake katika wilaya ya Muleba.

Watoto hao hawajafahamika majina yao kutokana na jeshi la polisi mkoani Kagera kugoma kutoa ushirikiano kwa Waandishi wa habari waliokuwa wakifuatilia taarifa hiyo.

Majeruhi inasemekana wamelazwa hospital ya rufaa Bukoba.

Pia soma Mwili wa mtoto aliyegongwa na gari la Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Burhan wazikwa, simanzi kubwa yatawala kwenye familia ya mwanafunzi
 
Mwenyekiti UVCCM Kagera Farisi Buruhani akiwa kwenye ziara yake wilayani Muleba. Wakiwa kwenye mwendo wa hali ya juu. Walikutana na wanafunzi wakitoka shuleni majira ya saa Tisa Mchana. Gari lilipoteza muelekeo likawafuata huko na kumuua hapo hapo mtoto wa shule ya msingi ya Kamachumu B anayesoma darasa la tatu. Mtoto aliyefariki anaitwa Revina Regnard. Na wenzake wamepata majeruhi mabaya na kupelekwa hospitali ya Government Bukoba. Majina ya majeruhi ni Edina na Witness Evidence.

Wakiwa na gari la chama na aliyekuwa anaendesha gari siyo dereva a wa chama. Dereva kapelekwa Mahabusu hadi leo lakini Mkiti analamisha atolewe. Mizozo ilikuwa mingi Kituo chq Polisi Muleba.

Hiki kitendo ni cha laana na kumwaga damu kwa watoto wasiyokuwa na hatia kwa uzembe wa watu ambao hawana umakini kwa uendeshaji wa vyombo vya usalama. Ajali imetokea eneo ambalo kuna watu wengi na watoto walifuatwa pembezoni mwa barabara na kuwagonga hukohuko na wengine wakanusurika.

Mkiti aache kiburi laana zitaendelea kumuandama kwa kauli zake za kupoteza watu. Viongozi wa Mkoa wa CCM wanampa kiburi na kuweka vitisho kwamba Serikali haina cha Kumfanya. Huyu Mkiti ujana umemzidi kwenye Ziara zake kulazimisha wakurugenzi wampatie fedha.
Damu aliyomwaga haitaenda bure.

Hawa ndio vijana wa ajabu ilibidi hadi sasa awe ameshajiuzulu ila CCM huwa wanalinda watu wao. Inabidi awe rumande kwa kutumia dereva ambaye hajakidhi na kuendesha kwa mwendo wa kasi kwenye maeneo ambayo kuna msongomano watu. Ila bado wataendelea kumkumbatia.

Vyombi vya habari vimezuiliwa kutoa hii habari imekuwa siri wakati wakazi wa Kamachum wapo kwenye machungu ya kumpoteza mtoto ambaye alikuwa hana hatia.
 
Attachments

  • Screenshot_20240501-195625.png
    Screenshot_20240501-195625.png
    541.2 KB · Views: 7
Duh aiseee hatari

Si walisema magari yenye bendera ruksa kutofuata sheria za barabarani
 
Labda ndiyo ameshaanza utekelezaji wa mipango yake ya kupoteza watu.
 
Huyu dogo Faris CCM wanamlea sana inabidi awe amesimamishwa nafasi ya uongozi. Huwezi kuua na kulazimisha mtu atoke selo wakati watu ni majeruhi. Laana inamuandama ya umwagaji wa damu.
Hiki kitendo ni cha kulaaniwa kwa watanzania wote. Hizi takataka za hivi hazifai kabisa kuwa viongozi. Karma is real haya yatamrudia
 
Mwenyekiti UVCCM Kagera Farisi Buruhani akiwa kwenye ziara yake wilayani Muleba. Wakiwa kwenye mwendo wa hali ya juu. Walikutana na wanafunzi wakitoka shuleni majira ya saa Tisa Mchana. Gari lilipoteza muelekeo likawafuata huko na kumuua hapo hapo mtoto wa shule ya msingi ya Kamachumu B anayesoma darasa la tatu. Mtoto aliyefariki anaitwa Revina Regnard. Na wenzake wamepata majeruhi mabaya na kupelekwa hospitali ya Government Bukoba. Majina ya majeruhi ni Edina na Witness Evidence.

Wakiwa na gari la chama na aliyekuwa anaendesha gari siyo dereva a wa chama. Dereva kapelekwa Mahabusu hadi leo lakini Mkiti analamisha atolewe. Mizozo ilikuwa mingi Kituo chq Polisi Muleba.

Hiki kitendo ni cha laana na kumwaga damu kwa watoto wasiyokuwa na hatia kwa uzembe wa watu ambao hawana umakini kwa uendeshaji wa vyombo vya usalama. Ajali imetokea eneo ambalo kuna watu wengi na watoto walifuatwa pembezoni mwa barabara na kuwagonga hukohuko na wengine wakanusurika.

Mkiti aache kiburi laana zitaendelea kumuandama kwa kauli zake za kupoteza watu. Viongozi wa Mkoa wa CCM wanampa kiburi na kuweka vitisho kwamba Serikali haina cha Kumfanya. Huyu Mkiti ujana umemzidi kwenye Ziara zake kulazimisha wakurugenzi wampatie fedha.
Damu aliyomwaga haitaenda bure.

Hawa ndio vijana wa ajabu ilibidi hadi sasa awe ameshajiuzulu ila CCM huwa wanalinda watu wao. Inabidi awe rumande kwa kutumia dereva ambaye hajakidhi na kuendesha kwa mwendo wa kasi kwenye maeneo ambayo kuna msongomano watu. Ila bado wataendelea kumkumbatia.

Vyombi vya habari vimezuiliwa kutoa hii habari imekuwa siri wakati wakazi wa Kamachum wapo kwenye machungu ya kumpoteza mtoto ambaye alikuwa hana hatia.
Kwa hiyo laana yake imeua mwanafunzi asiye na hatia. Sasa kati ya mwanafunzi na yeye nani kapata adhabu?
Mawazo ya watu yanashangaza
 
Huyu kwa vile anajisikia fahari kuua, hawezi kujali, na ataendelea, mpaka siku wananchi wachukue hatua dhidi yake. Aliwaasa polisi wasifanye chochote anapoua.
 
Hii ni ajali tu kama ajali nyingine. Hakuna mahusiano ya tabia yake na ajali. Kuna waovu kupita yeye lkn hawapati ajali
 
Mwenyekiti UVCCM Kagera Farisi Buruhani akiwa kwenye ziara yake wilayani Muleba. Wakiwa kwenye mwendo wa hali ya juu. Walikutana na wanafunzi wakitoka shuleni majira ya saa Tisa Mchana. Gari lilipoteza muelekeo likawafuata huko na kumuua hapo hapo mtoto wa shule ya msingi ya Kamachumu B anayesoma darasa la tatu. Mtoto aliyefariki anaitwa Revina Regnard. Na wenzake wamepata majeruhi mabaya na kupelekwa hospitali ya Government Bukoba. Majina ya majeruhi ni Edina na Witness Evidence.

Wakiwa na gari la chama na aliyekuwa anaendesha gari siyo dereva a wa chama. Dereva kapelekwa Mahabusu hadi leo lakini Mkiti analamisha atolewe. Mizozo ilikuwa mingi Kituo chq Polisi Muleba.

Hiki kitendo ni cha laana na kumwaga damu kwa watoto wasiyokuwa na hatia kwa uzembe wa watu ambao hawana umakini kwa uendeshaji wa vyombo vya usalama. Ajali imetokea eneo ambalo kuna watu wengi na watoto walifuatwa pembezoni mwa barabara na kuwagonga hukohuko na wengine wakanusurika.

Mkiti aache kiburi laana zitaendelea kumuandama kwa kauli zake za kupoteza watu. Viongozi wa Mkoa wa CCM wanampa kiburi na kuweka vitisho kwamba Serikali haina cha Kumfanya. Huyu Mkiti ujana umemzidi kwenye Ziara zake kulazimisha wakurugenzi wampatie fedha.
Damu aliyomwaga haitaenda bure.

Hawa ndio vijana wa ajabu ilibidi hadi sasa awe ameshajiuzulu ila CCM huwa wanalinda watu wao. Inabidi awe rumande kwa kutumia dereva ambaye hajakidhi na kuendesha kwa mwendo wa kasi kwenye maeneo ambayo kuna msongomano watu. Ila bado wataendelea kumkumbatia.

Vyombi vya habari vimezuiliwa kutoa hii habari imekuwa siri wakati wakazi wa Kamachum wapo kwenye machungu ya kumpoteza mtoto ambaye alikuwa hana hatia.
Faris amekuwaje kwani?
Nini hasa kimempata? UVCCM wa UDOM, COED hebu niambieni huyu ndg yetu nini kimemsibu!
 
Mdomo huumba!
Alikuwa na hamu ya kumwaga damu za watu!
Sasa imemwagika ya Malaika asie na hatia!
Tuombe imwagike yake ili kuondoa laana ya mdomo wake ktk jamii Amen,
 
Mwenyekiti UVCCM Kagera Farisi Buruhani akiwa kwenye ziara yake wilayani Muleba. Wakiwa kwenye mwendo wa hali ya juu. Walikutana na wanafunzi wakitoka shuleni majira ya saa Tisa Mchana. Gari lilipoteza muelekeo likawafuata huko na kumuua hapo hapo mtoto wa shule ya msingi ya Kamachumu B anayesoma darasa la tatu. Mtoto aliyefariki anaitwa Revina Regnard. Na wenzake wamepata majeruhi mabaya na kupelekwa hospitali ya Government Bukoba. Majina ya majeruhi ni Edina na Witness Evidence.

Wakiwa na gari la chama na aliyekuwa anaendesha gari siyo dereva a wa chama. Dereva kapelekwa Mahabusu hadi leo lakini Mkiti analamisha atolewe. Mizozo ilikuwa mingi Kituo chq Polisi Muleba.

Hiki kitendo ni cha laana na kumwaga damu kwa watoto wasiyokuwa na hatia kwa uzembe wa watu ambao hawana umakini kwa uendeshaji wa vyombo vya usalama. Ajali imetokea eneo ambalo kuna watu wengi na watoto walifuatwa pembezoni mwa barabara na kuwagonga hukohuko na wengine wakanusurika.

Mkiti aache kiburi laana zitaendelea kumuandama kwa kauli zake za kupoteza watu. Viongozi wa Mkoa wa CCM wanampa kiburi na kuweka vitisho kwamba Serikali haina cha Kumfanya. Huyu Mkiti ujana umemzidi kwenye Ziara zake kulazimisha wakurugenzi wampatie fedha.
Damu aliyomwaga haitaenda bure.

Hawa ndio vijana wa ajabu ilibidi hadi sasa awe ameshajiuzulu ila CCM huwa wanalinda watu wao. Inabidi awe rumande kwa kutumia dereva ambaye hajakidhi na kuendesha kwa mwendo wa kasi kwenye maeneo ambayo kuna msongomano watu. Ila bado wataendelea kumkumbatia.

Vyombi vya habari vimezuiliwa kutoa hii habari imekuwa siri wakati wakazi wa Kamachum wapo kwenye machungu ya kumpoteza mtoto ambaye alikuwa hana hatia.
Chuki zako tu ,siasa za kuchafuana,acha siasa za umalaya Malaya,unaandama Hela tu hamna Lolote unapewa Vocha ukachafue watu,pole sana acha kuandama hela tafuta hela kijana hauwezi kuona mwenye hela anakuwa mtumwa saka hela kijana tofauti na apo utakuwa Mzee mchawi
 
Hilo gari la Chama Mkoa Mwenyekiti wa Jumuiya anatembeaje nalo bila Dereva wa Mkoa. ?? Kuna mambo yanasikitisha sana sana. Vijana wadogo mnavimba vichwa kwa nafasi ndogo mnazopata. Hii inaathiri hata imani ya viongozi kuwaamini vijana katika Majukum nyeti. Huyo jamaa amewatia aibu Kagera na inaonekana ana matukio mengi ya hovyo
 
Mwenyekiti UVCCM Kagera Farisi Buruhani akiwa kwenye ziara yake wilayani Muleba. Wakiwa kwenye mwendo wa hali ya juu. Walikutana na wanafunzi wakitoka shuleni majira ya saa Tisa Mchana. Gari lilipoteza muelekeo likawafuata huko na kumuua hapo hapo mtoto wa shule ya msingi ya Kamachumu B anayesoma darasa la tatu. Mtoto aliyefariki anaitwa Revina Regnard. Na wenzake wamepata majeruhi mabaya na kupelekwa hospitali ya Government Bukoba. Majina ya majeruhi ni Edina na Witness Evidence.

Wakiwa na gari la chama na aliyekuwa anaendesha gari siyo dereva a wa chama. Dereva kapelekwa Mahabusu hadi leo lakini Mkiti analamisha atolewe. Mizozo ilikuwa mingi Kituo chq Polisi Muleba.

Hiki kitendo ni cha laana na kumwaga damu kwa watoto wasiyokuwa na hatia kwa uzembe wa watu ambao hawana umakini kwa uendeshaji wa vyombo vya usalama. Ajali imetokea eneo ambalo kuna watu wengi na watoto walifuatwa pembezoni mwa barabara na kuwagonga hukohuko na wengine wakanusurika.

Mkiti aache kiburi laana zitaendelea kumuandama kwa kauli zake za kupoteza watu. Viongozi wa Mkoa wa CCM wanampa kiburi na kuweka vitisho kwamba Serikali haina cha Kumfanya. Huyu Mkiti ujana umemzidi kwenye Ziara zake kulazimisha wakurugenzi wampatie fedha.
Damu aliyomwaga haitaenda bure.

Hawa ndio vijana wa ajabu ilibidi hadi sasa awe ameshajiuzulu ila CCM huwa wanalinda watu wao. Inabidi awe rumande kwa kutumia dereva ambaye hajakidhi na kuendesha kwa mwendo wa kasi kwenye maeneo ambayo kuna msongomano watu. Ila bado wataendelea kumkumbatia.

Vyombi vya habari vimezuiliwa kutoa hii habari imekuwa siri wakati wakazi wa Kamachum wapo kwenye machungu ya kumpoteza mtoto ambaye alikuwa hana hatia.
Huyu ndiye Yule anaedai watu wakipotea polisi wasihangaike,anachukua pesa Kwa wakurugenzi,chama Hakuna bajeti?
 
Back
Top Bottom