Arusha: Nassari, Heche na Bananga wahojiwa na polisi

Sikuamini masikio yangu nipomsikia mheshimiwa mbunge wa arumeru nasari akitamka kuwa kaskazini itajitenga serekali isipokua makini. lakini mi naona nasari haya maneno hayajamtoka bahati mbaya ukifuatilia historia utakumbuka babu zake nasari walienda kuomba uhuru wao wenyewe yaani kua nchi ya meru. walikua hawataki serekali ya tanganyika na mheshimiwa mbowe nae ndiye supporter mkubwa wa majimbo. mi personally naona kauli Kama hizo lazima zikemewe sana na wabunge wa kaskazini wapate elimu kua hatakama waasisi wa chadema wako kaskazini haimaanishi Chama ni Mali ya kaskazini pls katika ukombozi lazima tuelezane ukweli!

kuna dawa nyingi za kupambana na utawala wa mabavu
 
mwalimu aliwahi kusema; serikali ni amtokeo ya wananchi kutoa mamlaka yao na kukabidhi kwa viongozi watakaowaletea maendeleo, i
ikitokea serikali hiyo ikashindwa kutekeleza matakwa ya wananchi; wananchi wana wajibu wa kudai mamlaka yao na kuayarudisha mikononi mwao!
Nasarry yupo sahihi ccm imeshindwa kuwaletea wananchi wa meru maendeleo wana haki ya kuinyanganya mamlaka walioip na kuyarudisha mikononi mwao;
viva Nasary, viva meru, viva cdm, viva Tanzania
 
Ukombozi gani! Huyo ndiyo Massari na hiyo ndiyo Chadema na sera Yao ya majimbo. Wanajenga chuki hawjaongoza nchi wakipewa ndiyo itakuwaj sera yao. Lazima watanzania tuwe macho na kundi hili. Wanasema hayo Leo kesho wataanzisha Ivory coast hapa kweli. Ole Wetu!
 
Sikuamini masikio yangu nipomsikia mheshimiwa mbunge wa arumeru nasari akitamka kuwa kaskazini itajitenga serekali isipokua makini. lakini mi naona nasari haya maneno hayajamtoka bahati mbaya ukifuatilia historia utakumbuka babu zake nasari walienda kuomba uhuru wao wenyewe yaani kua nchi ya meru. walikua hawataki serekali ya tanganyika na mheshimiwa mbowe nae ndiye supporter mkubwa wa majimbo. mi personally naona kauli Kama hizo lazima zikemewe sana na wabunge wa kaskazini wapate elimu kua hatakama waasisi wa chadema wako kaskazini haimaanishi Chama ni Mali ya kaskazini pls katika ukombozi lazima tuelezane ukweli!

Mbona mnarudia rudia maneno Kama kasuku?Yameshatetwa sana humu tangu jana,na kamanda Mbowe alishazungumza jana ktk mkutano na wewe ni shahidi Kama ulivyoona sasa maneno mengi ya nini?Watanzania nnawaomba muwe watu Wa kusonga mbele.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Axe,
ukimpata mtu mwerevu akakuonyesha mwezi basi angalia mwezi na si KIDOLE kinachopoint mwezi - sitaki kuelaborate nafikiri utakuwa angalau na akili za kuelewa ninamaanisha nini if not please do not hesitate to contact me, i'll quench your thirst!!!!!

Motto ya invisible kama sikosei ni FICHA UPUMBAVU WAKO NA SI BUSARA YAKO!!!!!
 
Sikuamini masikio yangu nipomsikia mheshimiwa mbunge wa arumeru nasari akitamka kuwa kaskazini itajitenga serekali isipokua makini. lakini mi naona nasari haya maneno hayajamtoka bahati mbaya ukifuatilia historia utakumbuka babu zake nasari walienda kuomba uhuru wao wenyewe yaani kua nchi ya meru. walikua hawataki serekali ya tanganyika na mheshimiwa mbowe nae ndiye supporter mkubwa wa majimbo. mi personally naona kauli Kama hizo lazima zikemewe sana na wabunge wa kaskazini wapate elimu kua hatakama waasisi wa chadema wako kaskazini haimaanishi Chama ni Mali ya kaskazini pls katika ukombozi lazima tuelezane ukweli!

Mods pamoja na wana JF SOTE naamini discussions kama hizi hazijengi katika uwanja wetu!
 
Hili lipo wazi ya kwamba hawa polisisisiem wa hapa A town hawaachi kufanya hivyo.

Ila nawahakiki ya kwmb hawa hawana sumu hakika.
Wanajaribu kufurahisha mioyo yao iliyojaa dhambi ya damu ya watu wasio na hati!

Kama utapata mapya zaidi usisite kutujuza ila nina imani hawana sumu tena hawa.

Me nawashangaa sana hawa polisisimu,hawajui kabisa kusoma alama za nyakati.
 
Wakati mwingine watawala wetu wanatakiwa wawe na ngozi ngumu. Wako too sensitive. Joshua Nassari alisema ikifika Jumatatu (kama sikosei) bila ya watu waliomuua mwenyekiti wa CHADEM
A USA River kukamatwa basi rais Kikwete hatokanyaga Arusha. Lakini nadhani hili atakuwa amepitiwa maana Nassari hana uwezo wa kufanya hivyo. Hata hivyo mbona hawa polisi hawakumiita Tendwa wakati aliposema washiiri (wazee wa Kimeru) wamekataa Lema asikanyage Meru?

Kwa upande wa Heche nadhani itakuwa kauli yake kwamba baadhi ya mawaziri kwenye hii reshuffle ya juzi ni marafiki zake Ridhwani.

Dogo Janja na vijana 500 kama yeye wangepatikana wangeshatangaza Jamuhuri ya kaskazini. Nukuu ya dogo NMC jana
 
dogo janja ujanja mwingi mbele kiza.kwa umri wako bdo una muda wa kujifunza sn mtu anahukumiwa kwa maneno na matendo yake.
 
Hivi Lusinde na Benjamin Mkapa wataitwa kuhojiwa lini kwa kauli zao mbovu za Matusi na kujifanya wanazijuwa Familia za watu wengine kule Arumeru?


Kuna double standard za hali ya juu sana. Hilo ni swali ambalo Polisi inabidi waulizwe haswa kuhusu Matusi ya Lusinde. Mkuu hawa wanajiridhisha tu ili waonekane wamefanya kazi
 
Uwasilishaji wa hoja unaweza kumfanya mtu asielewe nini kilijiri.

Watu mliokuwepo ndo mnatakiwa kuandika kilichojiri kwa mapana.

I stand to ne corrected! Angalia nilichonukuu awalo, kina substance? Wapi imeonyeshwa kuwa machinga waliambiwa wanaadhibiwa kwa kuuchagua upinzani (Lema)? Yani, presentation inamfanya mtu moja kwa moja aone Nassari ana makosa makubwa (kama ikielezwa kwa ufupi sana)

Mkuu nakubaliana na wewe kuhusu uwasilishwaji wa hoja hapa jf kwamba unaonesha udhaifu. Ni kweli. Mimi nilikuwepo uwanjani na ilielezwa wazi kuwa kinachofanyika ni kuwakomoa watu hasa washabiki wa Lema. Na kukomoa huko kunawalenga zaidi wamachinga ambao Lema alikuwa mtetezi wao. Kauli kama "si mlikuwa mnamtegemea Lema!?" zimetajwa kutoka kwenye vikao vya halmashauri. Hizo ndizo zilizomgadhabisha Nassar akalipuka. Ila najiuliza tu, mbona Lusinde hakuhojiwa na hao polisi kwa kauli zake! Kauli ya Nassar na Lusinde ni ipi hasa ilihitaji kuhojiwa? Mbona wanahojiwa wa cdm tu? Na Ali Bananga mbona hakusema lolote la ajabu? Tafakari!
 
Huyu na Chagonja wajiandae kukimbilia Exile 2015.Na sisi tunawavumilia mno polisi wa aina hii.Tupange mkakati ambao ni radical kabisa kuhakikisha hadi tunaingia ikulu polisi hawatumiki tena kisiasa

Namtafuta Heche kwenye simu simpati ili ku-comfirm taarifa hizi.

Una maana gani kwenye blue hapo?
 
Mkuu Invisible nakubaliana na wewe kuwa Mbowe anatakiwa kumkalisha kijana na kufundisha kuzungumza jukwaani.
Lakini si kwa kiwango unachotaka wewe.
Unashangaza sana unapotaka kum criticize dogo kwamba anavunja sheria. Unazungumzia sheria zipi? Imefikia wakati watanzania tunatakiwa kufanya jambo la ziada kwa mustakbali wa wananchi wa Tanzania. Jambo hilo huwezi kuifanya bila kupindisha kama siyo kuvunja sheria ambazo zinakandamiza na kudhalilisha utu wa mtanzania.
Leo hii CCM wanatembea kifua mbele kwa sababu wanajua sheria zinawalinda wasichukuliwe hatua.
Haki inatafutwa kwa gharama, na gharama yake ni pamoja na kupindisha au kuvunja baadhi ya vipengele vya sheria kwa manufaa ya wananchi wanyonge wa nchi hii.

Kauli ya Dogo Janja haikuwa njema pale aliposema kuwa kama Kikwete ataendelea kuwanyanyasa tutajitenga, maana tunarasilimali za kutosha. Hii kauli ina sura ya kibaguzi, ni kauli inayowagawa watanzania. Lakini lazima tujiulize kwanini alifikia hatua ya kutamka vile!
Vinginevyo tutaendelea kupiga mboyoyo badala ya kujadili hatua za kuchukua.
Kikwete aache kuongoza nchi kibabe, hakuna aliye juu ya sheria.
Pia tukumbuke sheria tunazozungumzia hazikutoka mbinguni, bali zilitungwa na watu.
Mbowe anatakiwa kumweka kijana huyu chini na kumfundisha namna nzuri ya kufanya siasa. Kuwa mbunge kusimpe kiburi akafikia hatua ya kutoa kauli kama hizi.

Well, kama kayaongea haya waziwazi, si vibaya akahojiwa tena akakemewa na kuachiwa. Atajifunza endapo atapewa karipio kali.

Tusishabikie kauli kama hizi, hazifai katika jamii yetu. Mtu anajitangazia utawala!? Mtu anahamasisha uvunjwaji wa sheria na kanuni za Halmashauri?

Labda kama aliongea tofauti na haya
 
Hii nchi na hawa PoliceCCm wanachekesha sana yaani hata kama unamuelezea mtu ambaye ni wa nchi nyingine jinsi police wa Bongo wanavyofanya kazi anashindwa kukuelewa kabisa yaani wao wanashindwa kuwahoji wezi wa mapesa kule EPA,RICHMOND,DOWNS,MEREMETA,WAUAJI, wao wamekalia kuwahoji Makamanda ambao muda si mrefu watakuwa wanawapigia saruti hivi mpaka leo hawa Police bado hawaamini kama 2015 Kina Mh Joshua Nassari watakuwa mabosi wao??Nawaomba wale wote wenye nduguza ambao ni Police wajaribu kuwahabarisha.Ni hilo tu
 
Kwa upande wa Nassari aliwataka wamachinga kuendelea na biashara zao bila kuogopa vitisho vya halmashauri kuwataka Jumatatu waondoke mitaani.

Nassari alisema Atatoa Amri ya kumzuia J.K Kukatiza Arusha kwani yeye Ni Raisi wa Arusha Na Lema ni Waziri Mkuu.

Kwa tabia hii ya kuropoka, Basi viongozi wa chadema wajiandae kukanusha kila apandapo jukwaani. na tutegemee

miongozo ya spika ya mara kwa mara azungumzapo bungeni.

Dogo ni too low! na ubunge ni zaidi ya uwezo wake!
 
Dogo Janja na vijana 500 kama yeye wangepatikana wangeshatangaza Jamuhuri ya kaskazini. Nukuu ya dogo NMC jana

Mkuu umemnukuu vibaya! Aliyesema alikuwa Mh Diwani wa Sombetini, Mh Mawazo, na alisema alipokuwa kanda ya ziwa, vijana walimwambia kuwa wangepata vijana wengine kama 500 hivi, wangekua wameshafika magogoni. Taratibu mkuu, tuliokuwa uwanjani tupo wengi humu!
 
Mkuu Filipo na Mungi asante kwa kuliweka sawa swala hilo, jana wakati Nasari anatoa kauli hiyo nilikuwa nimerudi ofisini ku-upload picha lakini juu ya vijana kufukuzwa na wamama wa soko kuu kuambiwa si mlikuwa mnamtegemea Lema hayuko sasa mimi nasema kama watakinukisha nitashilikiana nao kadri niwezavyo...kuna ule uwanja uliouzwa na Musa mkanga pale karibu na shoprite kwanini wasipelekwe pale kwa muda au kwanini wasipelekwe NMC...
 
Back
Top Bottom