Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Taarifa iliyovuja toka Polisi Tanzania inaeleza kuwa viongozi hao walili wa CHADEMA, Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Ndg John Heche, Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari na aliekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Vijana, Ndg Ally Bananga aliehamia CHADEMA rasmi jana wameitwa kuhojiwa na Polisi katika maswala yanayohusiana na Mkutano wa chama hicho jana Katika viwanja vya NMC Jijini Arusha.
Hata hivyo mto ataarifa hajaweka wazi hasa ni mahojiano kwa ishu ipi specifically! Mtoa taarifa anahisi huenda ikawa ni ufafanuzi kuhusiana na kauli mbalimbali zilizozungumzwa na viongozi hao katika mkutano wa jan katika hotuba zao
Tutajuzana kinachondelea zaidi...