Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

Napinga Sana ubakaji ila mama aliniambia hivi siku moja: ukipita uchochoroni usiku na vibaka wakakukaba kabla hujawalaumu hao vibaka jilaumu wewe kwa kupita njia hatarishi!
Kwa life style ya Huyo marehemu(r.I.p) ya kuacha tu mapaja nje, kujiweka karibu na vidume, nk. kuna mchango wake mkubwa wa kubakwa kwake!
Mhh, ina maana alikuwa anawashawishi wabakaji?
 
Labda niulize swali alibakwa saa ngapi,
Maeneo yapi,
Alivaje?,
Ilikuwa siku gani,
Na je alikuwa kwenye mahusiano,
Aliwasiliana na watu wangapi,?
Last call aliwasiliana na nani?,
Na je alikuwa na mtu walie korofishana,.
 
Sio tu Marehemu hasemwi lakini alichosema hakipo manake amem-judge kwa kuangalia picha aliyopiga beach... sasa sijui ni wasichana wangapi wanavaa madela wakiwa beach.

inamaana wewe ukipiga picha mmadam uko bafuni, na bafuni watu huvua basi ukiiweka mtandaoni ni sawa?
kwamujibu wa maelezo yako ni kwamba hiyo picha kapiga sehemu husika na vazi ila hukuona tatizo ikiwemo kwenye mtandao.
 
Mkuu am speechless na baadhi ya kauli za humu, na kufikia mpaka kuweka picha ya marehemu. Ukizingatia huyu ni binadamu mwenzetu, na wote tunaelekea kumoja ila kwa njia tofauti.
JamiiForums huijui wewe... C'oooon
 
  • Thanks
Reactions: kui
Tukio la kusikitisha sana,mamlaka husika zifanye kazi yake,

hawa jamaa wakamatwe wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.
 
Hakuna anayetetea ubakaji hapa, tunazungumzia vichocheo vya tukio, bint mrembo halafu mchanga kama anavyoonekana unafikiri rijali gani anaweza pishana naye asigeuke kuona alichojaaliwa nacho, baada ya hapo nini kitafuata?

Acha upuuzi. Ndiyo abakwe hadi kufa? Hivi unadhani kifo kwa tendo hilo unaona ni kitu kidogo hivyo. Ni unyama mkubwa sana ambao mnatetea. Hakuna sababu yoyote kubwa ya kuhalalisha kuondoa uhai wa mtu kwa njia kama hizi
 
1478156344669.jpg
1478156350213.jpg
1478156354986.jpg
 
watu 30 wamekamatwa....................hapa kuna namna,haiwezekani wakamatwe wengi hivyo,
Hao sio wengi hata. Sehem nyingine KAYA nzima inasalia sero lengo ni kuwa squeeze waseme chochote wanachokijua!
 
Acha upuuzi. Ndiyo abakwe hadi kufa? Hivi unadhani kifo kwa tendo hilo unaona ni kitu kidogo hivyo. Ni unyama mkubwa sana ambao mnatetea. Hakuna sababu yoyote kubwa ya kuhalalisha kuondoa uhai wa mtu kwa njia kama hizi

Wewe ndiwe mpuuzi maana badala ya kuelewa hoja unadakia ujinga, hakuna anayetetea uovu uliofanyika, kila mtu analaani, ila kinachajadiliwa ni visababishi vya tukio lenyewe.
 
Back
Top Bottom