jAMANI, kuna hali ya hatari inakaribia kutokea huku Arusha...
Matokeo bado yameshikiliwa, hayatangazwi, na umati wa mji wa Arusha umekaa nje unasubiri kwa jazba kali mno.
Lakini kuna mtu kaniambia possibility ya ajabu sana, kuwa wameshindwa kuchakachua kura za Lema, sasa wanataka kumchakachua yeye(Lema) binafsi kwa KUMPA FEDHA KIASI ATAKACHOTAKA YEYE, ili aachie ngazi na kutangaza kuwa ameshindwa!!
Jamani si mnaona damu hapo inatafutwa?
That can't be - Arusha sio sawa na mikoa mingine Lema kufanya hivyo anauza "uhai" wake - serioulsy.
Hizo kura siyo za Lema ni za Wanachadema, hawezi ingia mkenge aisee.
jAMANI, kuna hali ya hatari inakaribia kutokea huku Arusha...
Matokeo bado yameshikiliwa, hayatangazwi, na umati wa mji wa Arusha umekaa nje unasubiri kwa jazba kali mno.
Lakini kuna mtu kaniambia possibility ya ajabu sana, kuwa wameshindwa kuchakachua kura za Lema, sasa wanataka kumchakachua yeye(Lema) binafsi kwa KUMPA FEDHA KIASI ATAKACHOTAKA YEYE, ili aachie ngazi na kutangaza kuwa ameshindwa!!
Jamani si mnaona damu hapo inatafutwa?
Lowassa anakuja kwenye jimbo hilo kama nani?? hivi anadhani zile zama zake bado zipo eh??niko usawa wa mita 200 kutoka office za manispaa ya arusha kwa mda wa masaa mawili sasa.hali ya hapa si shwari kwani kuna tetesi kuwa lowasa amefika na kufanya kikao na mgombea wa chadema.kwa mda wote wafuasi wa chadema ndio waliokuwa wamejaa ila sasa wafuasi wa CCm wamenza kupita hapa maeneo ya clock tower.anyway watu bado tunasubiri kwa hamu kujua nini kitaendelea.stay tuned for more information.
Akiuza kura wananchi wakijua watamwua. Nakuhakikishia na Ile Arusha Niliyozaliwa mimi.
too late... people's power is beyond a candidate... hizo kura sio za lema bali ni za wananchi wa arushajAMANI, kuna hali ya hatari inakaribia kutokea huku Arusha...
Matokeo bado yameshikiliwa, hayatangazwi, na umati wa mji wa Arusha umekaa nje unasubiri kwa jazba kali mno.
Lakini kuna mtu kaniambia possibility ya ajabu sana, kuwa wameshindwa kuchakachua kura za Lema, sasa wanataka kumchakachua yeye(Lema) binafsi kwa KUMPA FEDHA KIASI ATAKACHOTAKA YEYE, ili aachie ngazi na kutangaza kuwa ameshindwa!!
Jamani si mnaona damu hapo inatafutwa?
heshima malyamungu
mkuu alishauza mwaka 2005 mbona mzima mpaka leo ?.
2005 siyo leo hata hivyo alikuwa kwenye chama cha wachakachuaji