noted with thanksMkuu Hizi habari si za Kupuuzia hata kidogo kuna Mtu kanipigia simu yawezekana isiwe kweli lakini kwa sasa siwezi kubisha kwa Sababu ccm hawana soni
imposible. Arusha itanuka damu. Mungu aepushie mbali lkn thats how it is.. Huyu malaya akubali tu. Sipati picha lema angeshindwa halafu akatae labda angekuwa sero sasa.
Lowassa hana haki ya kuwa hapo kwani hakuwa wakala wala wakili wake hivyo hana haki hata ya kufika hapo. Huu ni ujinga mtupu.Huyu mama aligoma kusaini matokeo akidai hasaini hadi Lowaasa aje hapo ktk ukumbi wa jiji la ARUSHA. Ni kweli wale jamaa pale walimsubiri, naye huyu fisadi wa Monduli akaja na akaingia ndani ya chumba cha mkutano wao. Akaja na hoja ya kutaka kura zirudiwe kuhesabiwa upya. kwa mujibu wa sheria, matokeo hayahesabiwi huku wanakohesabia sasa. Jamani hii inakuwaje? hebu nisaidieni mwenzenu mie siyo mtaalam wa sheria za uchaguzi. Inakuwaje mgombea wa jimbo lingine (Monduli) aje kuwa mshauri na hakimu wa jimbo lingine (Arusha mjini). Huu ni wizi.
HAKI HUINUA TAIFA!