pole sana mkuu. Serikali legelege, watumishi jeuri.Niliongea na wasaidizi wake wakani jibu hayani husu na matusi kibao...
Leo ni zaidi ya maji yaani ni mavi.....hilo tatizo wameshindwa kulipatia ufumbuzi......... mara kwa mara hiyo barabara inatapika maji machafu..........ukifwatilia kwa karibu utapewa gharama za kutisha kwa ajili ya matengenezo lakini hayafanyiki kwa ukamilifu
Mimi ni mtu wa Arusha ndiyo maana nimekereka sana mbaya zaidi baada ya kuwaambia wahusika nikambulia matusi kidogo tupigane...
Leo ni zaidi ya maji yaani ni mavi.....
Its time now watu wakaweka usiasa pembeni, badala ya kujenga tutabomoa, Arusha ni mji wa kitalii huu uchafu usinge paswa kuonekana mlio ngazi za juu hebu tendeni kazi msije mkashangaa come 2015 mkatupwa nje, wapiga kura mara nyingi huwa wanarefer what you have done, then maamuzi yanafuata.
Inaonekana umekeraka sana kitendo cha mimi kutumia neno mavi lakini kama ungeyaona yakiwa katikati ya mji wa kitalii a.k.a Geneva of Africa usingekereka na mimi kutumia neno hilo, mbaya zaidi unawaambia wahusika wana kuporomoshea matusi...Hii ni kero lakn hebu jaribu kutulia na kutumia tafsida mkuu
Mimi ni mtu wa Arusha ndiyo maana nimekereka sana mbaya zaidi baada ya kuwaambia wahusika nikambulia matusi kidogo tupigane...
Mkuu umeona mziki huo....ngoja tuwahamasishe watu wasokoni wangome kulipa ushuru haiwezekani ujinga huu uendeleemavi mavi matupu ile njia ya kwenda sokoni kupita pale hotel ya palson ndo balaa yani mavi matupu na sokoni wanapanga mboga za majani chini that means wanawalisha mavi wateja wao...pyuuuuuuuuuuuuuuu
mavi mavi matupu ile njia ya kwenda sokoni kupita pale hotel ya palson ndo balaa yani mavi matupu na sokoni wanapanga mboga za majani chini that means wanawalisha mavi wateja wao...pyuuuuuuuuuuuuuuu
Ni kero tu mkuu...hasa nikikumbuka juzi mkuu wa mkoa kafunga barabara kisa mke wake anasema magari yanatimua vumbi nyumbani kwake...
Karibu sana arusha jiji la mavi...natumaini utakuta wametatua...hahahah
Mbaya zaidi ni mavi ya wahindi.katika hali isiyo vumilika mji wa Arusha umekuwa ikubwa na upasukaji/kuziba kwa mabomba ya maji machafu( mavi) na kusababisha kero kubwa kwa wakazi wa Arusha na mbaya zaidi kila linapotokea tatizo hili huchukua siku si chini ya siku tatu kutatuliwa na maeneo sugu kabisa ni kuzunguka uwanja wa Sheikh Amri Abeid, makongoro Road na barabara ya uhuru lakini ya leo imenikera kuliko siku zote kwani ukipita barabara ya uhuru utakuta mavi siyo maji ya mavi barabarani na ukipandisha hii barabara ya sokoni karibu na Pallson Hotel napo mambo ni hovyo kabisa sasa najiuliza huu ni mji wa kitalii au mji wa mavi...
View attachment 37097
hii ni mizinga ya kinyesi kama inavyoonekana karibu kabisa na soko kuu la Arusha....
Inaonekana umekeraka sana kitendo cha mimi kutumia neno mavi lakini kama ungeyaona yakiwa katikati ya mji wa kitalii a.k.a Geneva of Africa usingekereka na mimi kutumia neno hilo, mbaya zaidi unawaambia wahusika wana kuporomoshea matusi...