IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,463
- 7,385
Mbaya zaidi ni mavi ya wahindi.
you guyz,.....uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh
Mbaya zaidi ni mavi ya wahindi.
Arusha tatizo ni wakazi wanaoishi hapa. Kila mahali ni pachafu hata majumbani kwa watu ni wachafu. Niliwahi kumwona dada fulani kaotesha majani (Garden) pembezoni mwa barabara uongozi ukwamuamuru ayang`oe, kisa ni aneo la barabara.Pita Kimandolu Stendi pembeni kabisa ya barabara ya Arusha- Moshi kuna dampo limewekwa hapo na hii ndio Kata anayotoka Meya Msaidizi aliyejichakachua mwenyewe. Tatizo ni USTAARABU hatuna watu wa A-Town.
Tumia neno "VINYESI"............... Wewe ni Muarusha nini?
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa kuwa lazima wakazi wa maeneo husika wabadilike lakini uongozi unaweza kulisimamia hili kuweka sheria nikupe mfano mdogo...miaka miwili iliyopita chini ya standi ndogo watu waligeuza choo palikuwa hapafai nennda sasa hivi ukapaone, huku polisi tarafic karibu na ile njia ya kuibukia AA Computers kulikuwa hakufai watu waligeuza choo ilikuwa ni mavi tu lakini leo hii subutu hata kukojoa inakula kwako na pamekuwa pasafi huwizi amini kwahiyo swala ni sheria binadamu ndivyo tulivyo bila kuweka sheria na kusimamiwa hakuna linaweza kufanyika, lakini la mabomba kuziba je ni la wanachi kutema mate hovyo au ni la kiuongozi...ni kweli kabisa,..ila tatizo hili la uchafu sio arusha pekee_nenda dar(anakoishi presidaa wako kunanuka shombo)utatamani ujinyonge mkuu,...issue hapa ni tubadili tabia ikiwa ni pamoja na kuacha kutema mate ovyo
kuna watu wanawajibika ndiyo tunao walalamikia hata Lema kama mbunge baada ya kesi kusikilizwa tutaenda kufungua ile barabara aliyo iziba mke wa mkuu wa mkoa kisa magari yana timua vumbi nyumbani kwake kama atakuwa hajatoa maelezo ya kutosha maana alishaandikiwa barua....harafu tutakuja kwa hawa wanaohusika na mavi...Sasa mnalalamika nini huku mnalilia si mwambieni Lema sindio Mbunge wenu wa Arusha
Unalilia nini wewe si umwambie Lema akitoe hivyo vinyesi vyenu! Kwani kazi ya Lema nini au Maandamano tu ndio mnayojua.Mamlaka yenye dhamana ya kukussanya kodi na kuweka mji katika hali inayostahil kwa maisha ya binadamu ni manispaa/halmashauri ya jiji la arusha.
Hawa ndio wanaotakiwa kuratibu mambo yote yahusuyo miundombinu. Kama mitaro na chambers zinavuja hovyo, kamkamateni mkurugenzi, mumuulize fedha za kodi anapeleka wapi? Na idara zake zinafanya nini?
Sasa mnalalamika nini huku mnalilia si mwambieni Lema sindio Mbunge wenu wa Arusha
Tatizo lako mkuu Ritz unakurupuka sana....Lema siyo mbunge wa kuzibua mabomba ya mavi kuna wanaohusika na tunawalipa kwa kazi hiyo kama wewe unavyo lipwa na Nepi...Unalilia nini wewe si umwambie Lema akitoe hivyo vinyesi vyenu! Kwani kazi ya Lema nini au Maandamano tu ndio mnayojua.
Acheni uchafu nyie watu wa Arusha, mnajisaidia hovyo hovyo halafu mnalalamika
Unalilia nini wewe si umwambie Lema akitoe hivyo vinyesi vyenu! Kwani kazi ya Lema nini au Maandamano tu ndio mnayojua.
Acheni uchafu nyie watu wa Arusha, mnajisaidia hovyo hovyo halafu mnalalamika
wakuu hii yote inachangiwa pia na siasa....
Tatizo lako mkuu Ritz unakurupuka sana....Lema siyo mbunge wa kuzibua mabomba ya mavi kuna wanaohusika na tunawalipa kwa kazi hiyo kama wewe unavyo lipwa na Nepi...
MasakiHebu niambie unaishi wapi tz hii ambako hii kero haipo,....acha mashauzi yasiyo na mshiko
Unalilia nini wewe si umwambie Lema akitoe hivyo vinyesi vyenu! Kwani kazi ya Lema nini au Maandamano tu ndio mnayojua.
Acheni uchafu nyie watu wa Arusha, mnajisaidia hovyo hovyo halafu mnalalamika
Masaki
Masaki
ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa!..eti kuishi masaki ndio alete mambo yake ya hovyo hapa jamvinihiyo sura yako kwenye avatar sijawahi kuiona masaki....