Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,516
- 1,404
umekalia tu politiki!unalilia nini wewe si umwambie lema akitoe hivyo vinyesi vyenu! Kwani kazi ya lema nini au maandamano tu ndio mnayojua.
Acheni uchafu nyie watu wa arusha, mnajisaidia hovyo hovyo halafu mnalalamika