Arusha: Madiwani waliotimuliwa na CHADEMA wabwagwa mahakamani!

Poor PM Hon.MKPP!
Mkubwa huyu anadhalilika kwa mara nyingine tena kwa kuonekana mnafiki na mtu ambaye hayuko tayari kuona mabadiliko ya kiitikadi!
Hakika Arusha iko juu sana KIFIKRA kulinganisha na huyu MKPP.
Akumbuke ni Arusha hiihii iliyosema kuwa MKPP ni mwongo na na uwongo wake 10 ukawekwa hadharani!...na hakuthubutu kujibu tuhuma hizo, mpaka akaokolewa na Spika wa Bunge kwa kutupilia mbali hoja hiyo ndani ya mjengo.
Hao akina Mkuchika siwezi kuwaongelea, maana hao wanatumika!

maelezo ya hakimu:
- Mahakama imeangalia kujua kama chadema wana haki ya kushtakiwa au kushtakiwa
- Mahakama imeona kwamba chadema wakati inasajiliwa ilikuwa na katiba yake, ikiongozwa na board of trustees
- Hivyo kitendo cha madiwani kukishtaki chadema kama chama hakina msingi.
- Mahakama pia imeangalia kuwa Freemen Mbowe kesi aliyofunguliwa ni kama personal rather than public interests, Freemen Mbowe ni mwenyekiti wa chadema, hivyo alitakiwa kushtakiwa kama kiongozi wa chama siyo yeye kama yeye.

kweli haki itabaki haki na huu ni ukombozi kwa nchi yetu taratibu ukombozi huuuuuuuuuuuuuooooooooooooooo!

Mkuchika na PM wetu kuna wakati mie nawatizama nakosaga majibu, maana hata sura zao zatoa majibu yakinifu.
TIZAMA HIZI PICHA VYEMA WATAFAKARI HAWA WATU MKUCHIKA NA MWENZIE NAMNA WANAVYOCHUKULIA MAMBO NYETI
images

Sura zao ni za kuzimu kabisa, lazima kuna roho ya mauti inatembea juu yao.Ni aibu kwa aliyewateua.

Tulisema humu JF kuwa wale madiwani wametendewa haki kwa misingi ya sheria na Katiba, na kwa haki hiyohiyo ajiandae mzee Shibuda, hatutamuonea ila atapewa haki yake stahili.
CHADEMA tunaweza kwakua tupo kwaajili ya kutumikia UMMA

Mkuu nakuunga mkono kwa sana, huyo Shiiiiii budaaaa pigo lake moja tu pwaaaaaaa.CDM ni kioo na ukitaka kujua taswira yako chukua kioo hicho utajielewa na ikibidi utambae mapema kabla rungu la kufunika unafiki halijakufikia. Hureeeeeee A TOWN.

Sasa ndio nimepata picha halisi ya hili neno: Wao wanapesa! Sisi tuna Mungu! Hakika hata Igunga msemo huu unaweza ukajidhihirisha kwenye matokeo baada ya upigaji kura.

Mkuu hii habari ni ya kweli huna haja ya kuwa na wasiwasi nayo...

Hivi Hakimu aliyeendesha hii kesi ni moja ya wale mahakimu wapya vijana wenye ari ya kutoa ukweli au? Mbona kesi ya kina Mbowe,Slaa na wabunge wengine(ya maandamano ya Arusha) hukumu yake bado wakati yenyewe imetangulia kufunguliwa?!

JAMANI MBONA RAHA USHINDI WA CHADEMA ARUSHA DHIDI YA WACHUMIA TUMBO NA FITINA ZA CCM, MARY CHATANDA, MKUCHIKA NA AFISA USALAMA WA CCM NDG MOMBO!!!!!!!!

Ni vema kila Mtanzania akaelewa ya kwamba haikua jambo rahisi CHADEMA kuibuka washindi dhidi ya fitina za serikali dhalimu.

Lakini kwa kuwa
siku zote Mungu yupo upande wetu akitupigania huku CHADEMA, na kwa kuwa Mungu anachukizwa sana na kitu chochote UFISADI kama ule uliotanda katika uchaguzi A-Town, na kutokupendezwa sana kuona SISI WALAZWAHOI tukiendelea kuteseka mikononi mwao Magamba - ndio huo ukumu umeto kwa raha zetu CDM.

Ni utawala wa Mtu (Mkuchika) dhidi ya utawala wa sheria (Maamuzi ya Mahakama), Nako Igunga ushindi ni kama ule wa Arusha mbona rahaaaaa!!!!!!!!!!!!

Mabdiliko makubwa yaja Tanzania na 'Gaddafi' wa CCM naye tutamdaka hivi karibu. Vijana wenzangu, Uzalendo mbeeeeleeeeeee kama tai lakini katika HAKI!!!!!!!!!!!!!!

Utawala dhalimu utaangushwa chini na Mwenyezi Mungu tena kwa aibu kubwa. Na kwa Tanzania yetu ndio hivo safari mapinduzi makubwa ya kihistoria ikiongozwa na VIJANA TU ndio hiyo imeshika moto kote nchini; hatuambiliki wala hatuelewi kitu mpaka kieleweke.

Siku za CCM kuwa chama cha upinzani kwenye bunge letu Dodoma ndio hizi hapa!

Hamtutishi hata kidogo.kushinda kesi ni kitu cha kawaida sana tu na labda hata mmetoa rushwa ili mshinde.ngoja tuchunguze.

Nafikiri kilichobaki ni kupanga mikakati ya kuyarudisha hayo majimbo mikononi mwetu,
Tunaweza tukasheherekea na kufurahia sana leo but tukaja kushindwa kwenye uchaguzi.
Siku zote:
"Achekae mwisho ndie mshindi"

haya mambo yote na 'hizi vurugu' yameazishwa na mtu ambaye hakuwa kabisa kwenye ramani ya siasa za Tanzania hadi majuzi tu, Mheshimiwa Godbless Lema!!! (Pamoja na Makamanda wengine)
- Leo hii twaweza kujua kuwa kiongozi mkuu wa serikari anasema uongo!
- kuwa mwananchi mwenye hadhi ya uwaziri (Mkuchika) hajui hata sheria ndogo za nchi!
- kuwafungua wananchi macho juu ya serikari kuua wanachi wake nk, nk

...je, yawezekana Arusha ikawa (ignite) chanzo cha moto wa mabadiliko ya taifa hili la Mashariki mwa Afrika??????

Hivi Hakimu aliyeendesha hii kesi ni moja ya wale mahakimu wapya vijana wenye ari ya kutoa ukweli au? Mbona kesi ya kina Mbowe,Slaa na wabunge wengine(ya maandamano ya Arusha) hukumu yake bado wakati yenyewe imetangulia kufunguliwa?!
Tatizo la hii kesi ni kutakiwa kuwepo kwa watuhumiwa wote kwa pamoja kitu ambacho ni kigumu....kingine kesi hiyo ukiiangalia unaweza ukaipuuza lakini imekaa viibaya sana kwa CCM...
Mfano CDM wakishindwa ndugu na majeruhi watafungua kesi ya madai yaani mengi yataibuka baada ya hukumu na kama ikitokea wa kaimiya haki watu wa Arusha sijui kama wako tayari kwa hilo maana mambo yote yako wazi kuwa haki, kanuni za uchaguzi wa meya zilikiukwa na maandamano yaliruhusiwa kibari kipo na watu walithibitisha kuwa maandamano yao yalikuwa yaa amani baada ya kutembea zaidi ya Km 2 bila kuua hata sisimizi ndipo polisi wakaanza kupiga watu na kutumia risasi za moto....

katika biblia kuna maneno yanasema

'...kutazama watatzama lkn hawataona......

kusikia watasikia lakini hawataelewa...'

Wana wa Igunga, iwapo watafanya kosa kwa kuichagua CCM, watakuwa wameuthibitisha usemi huo. Lakini tusikimbilie kuwalaumu, tuangalie variables nyingine kama literacy level yao ndio tuwahuku kwa maamuzi yao.

CCM waliwanyima mambo ya msingi kama elimu watu wa kanda ya kati. ni wachache mno wanaofahamu hujuma hii ya CCM. Hiki ndo chanzo cha CCM kuwa na nguvu kanda ya kati

...mkuu usiwe na shaka kwani atakalo Molo binadam awezi-zuia na wanaojaribu kuzuia mapezi ya Mungu ndo kama hao uliowasikia uko Arusha wameumbuka mchana kweupe,na bado hasira na laana yake Mungu itawafuta na kuwaangamiza si Igunga pekeyake bali kila mahala walipo watanzania wanyonge wanaoishi maisha ya dhiki na mateso makubwa yanayo sabishwa na ufisadi wanaoufanya hawa wakoloni weusi (CCM) ilihali nchi hii ni iliyo-jaaliwa neema, utajiri wa laslimali na watu wenye upendo...

Kwa mantiki hiyo hakuna imani tena kama chama cha magamba kitaokoka igunga. Big up my presdent Dr Slaa. Your are the wind of change to proper democracy.

Back
Top Bottom