<br />Ile kesi iliyokua inawakabili wale madiwani watano Arusha hatimaye hukumu imeshatekelezwa na wameshindwa na sasa uchaguzi wa madiwani Arusha utarudiwa tena! Souce Mahakama kuu Arusha.
CCM imewaponza hawa madiwani maskini.Ile kesi iliyokua inawakabili wale madiwani watano Arusha hatimaye hukumu imeshatekelezwa na wameshindwa na sasa uchaguzi wa madiwani Arusha utarudiwa tena! Souce Mahakama kuu Arusha.
msukule wa nape RITZ
Hao mahakimu unaonesha kuwafurahia na kuwaamini. Sawa, watakapowalamba miaka 5 jela Slaa, Mbowe na Lema kwenye kesi yao ya kusababisha mauaji Arusha 5 Jan 11 ......USISITE KUWAPONGEZA KAMA ULIVYOFANYA HAPA.
sidhani kama alimanisha hivo, kusudi lake ni kumshauri ndallo baada ya kuanzisha thread basi awaache wadau wachangie, wamwulize maswali naye aendelee kufafanua. ndivyo nilivyomsoma ntagunga
Mkuu madiwani wafu walishafanya hivyo kabla hata hawajapeleka kesi mahakamani kama sikosei...Hata hivyo Hakimu nae namlaumu, huenda ame-overlook kwa kuwaambia kwamba wakakate rufaa kwenye CC ya Chadema. Watakwenda kukata rufaa kama nani wakati wao si wanachama wa Chadema! Walishafukuzwa hawa na majina yao yalishaondolewa. Wakiingia ofisi za Chadema ni sawa tu na Mtu wa CCM au wa TLP au wa SAU kwa hiyo hawausiki na jambo lolote la Chadema.
Kwishney!
Mkuchika ni sawa na kenge. Kenge huwa asikii mpaka umtandike mpaka damu zimtoke maskioni. Mahakama imemtandika kenge midamu maskioni pwaaa!
Ahsante Ndalo kwa hii taarifa maana hawa mafisadi walitegemea kubebwa na CCM, watajua kuwa na heshima. CDM hatulei mafissadi!!!!!!!!!!!!!!Ile kesi iliyokua inawakabili wale madiwani watano Arusha hatimaye hukumu imeshatekelezwa na wameshindwa na sasa uchaguzi wa madiwani Arusha utarudiwa tena! Souce Mahakama kuu Arusha.
Arusha nawakubali majimbo yote ya udiwani mjini arusa yatarudi tu.
cha msingi ni kuwa makini katika uteuzi wa wagombea, wasifanye kosa kuwachagua watu wasiokuwa na msimamo na wasiojua falsafa ya chama chao