Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
We unasema Arusha. Nchi imekwisha hii, kila kona ukienda watua ni wakali kweli. Hali ni mbaya kweli kweli. Utapeli umezidi, yaani nashukuru tu kuna amani.
hakuna amani bali ujinga ndiyo umezidi
We unasema Arusha. Nchi imekwisha hii, kila kona ukienda watua ni wakali kweli. Hali ni mbaya kweli kweli. Utapeli umezidi, yaani nashukuru tu kuna amani.
Uchumi utakuaje wakati muda mwingi watu wanapoteza kwenye mikutano ya kisiasa na maandamano?
Mi nadhani labda mtoa mada atakua amedondoka toka huko mbele mda si mrefu ndio maana anaona kama vile mji umezorota sana..hali hii ni kawaida kama ulikua nje ya nchi kwa muda flani halafu ukarudi hm.lzima utaona kama vile hali ya maisha imeshuka sana kulinganisha na zamani!!! Zamani imeshapita..sikatai hali imekua mbaya Arusha..lakini mabadiliko ya kiuchumi ya mji wa arusha yametokea kutokana na mambo mawili makubwa....kwanza ..baada ya machimbo ya tanzanite kumilikiswa makaburu na pili...baada ya september 11, na mtikisiko wa uchumi wa dunia...watalii walipungu kwakasi ya ajabu...hivyo kwa kiasi flani uchumi wa arusa umeshuka lakini sio sana ingawa bado kuna masalia ya tanzanite na watalii..lakini ikumbukwe kua idadi ya makampuni pia imeongezeka hivyo ushindani umekua mkubwa pia katika sekta zote..mji pia umetanuka sio kama zamani town ndio ilikua kila kitu..
Nashukuru na nimeliona limeandikwa pia kwenye blog ya michuzi. Tuacheni utani na masihara mji wa Arusha kwa sasa una hali mbaya sana. Hali ya mji wa Arusha kiuchumi kwa sasa sio maridhawa kabisa. Nilijaribu kutembelea maeneo mengi ya kibiashara km sokoni ambapo kuna maduka mbali mbali . Ikifika saa 10 tu jioni wanaanza kufunga hakuna wateja, hata zile siku za kawaida za kazi. Biashara za taxi , ma-bus ndio usiseme, karibia 90% ni mbovu mbovu sana. Hali ya usafi wa mji ni mbaya sana. Kwa kweli , wana JF tuna haja yakuutizama upya mji huu, GENEVA OF AFRICA INAPOTEA KWENYE RAMANI

Rekebisha kidogo hapo, ni Lema sio mheshimiwa mbunge. Halafu hivi wewe umeenda Mwanza hivi karibuni? Nakushauri uende ukaone biashara inavyo kwenda.
Watajuta kwanini walimchagua yule kichaa, sasa hawana hata wa kuwa wakilisha Bungeni
Nashukuru na nimeliona limeandikwa pia kwenye blog ya michuzi. Tuacheni utani na masihara mji wa Arusha kwa sasa una hali mbaya sana. Hali ya mji wa Arusha kiuchumi kwa sasa sio maridhawa kabisa. Nilijaribu kutembelea maeneo mengi ya kibiashara km sokoni ambapo kuna maduka mbali mbali . Ikifika saa 10 tu jioni wanaanza kufunga hakuna wateja, hata zile siku za kawaida za kazi. Biashara za taxi , ma-bus ndio usiseme, karibia 90% ni mbovu mbovu sana. Hali ya usafi wa mji ni mbaya sana. Kwa kweli , wana JF tuna haja yakuutizama upya mji huu, GENEVA OF AFRICA INAPOTEA KWENYE RAMANI
let the sleeping dog lieNashukuru na nimeliona limeandikwa pia kwenye blog ya michuzi. Tuacheni utani na masihara mji wa Arusha kwa sasa una hali mbaya sana. Hali ya mji wa Arusha kiuchumi kwa sasa sio maridhawa kabisa. Nilijaribu kutembelea maeneo mengi ya kibiashara km sokoni ambapo kuna maduka mbali mbali . Ikifika saa 10 tu jioni wanaanza kufunga hakuna wateja, hata zile siku za kawaida za kazi. Biashara za taxi , ma-bus ndio usiseme, karibia 90% ni mbovu mbovu sana. Hali ya usafi wa mji ni mbaya sana. Kwa kweli , wana JF tuna haja yakuutizama upya mji huu, GENEVA OF AFRICA INAPOTEA KWENYE RAMANI
Nashukuru na nimeliona limeandikwa pia kwenye blog ya michuzi. Tuacheni utani na masihara mji wa Arusha kwa sasa una hali mbaya sana. Hali ya mji wa Arusha kiuchumi kwa sasa sio maridhawa kabisa. Nilijaribu kutembelea maeneo mengi ya kibiashara km sokoni ambapo kuna maduka mbali mbali . Ikifika saa 10 tu jioni wanaanza kufunga hakuna wateja, hata zile siku za kawaida za kazi. Biashara za taxi , ma-bus ndio usiseme, karibia 90% ni mbovu mbovu sana. Hali ya usafi wa mji ni mbaya sana. Kwa kweli , wana JF tuna haja yakuutizama upya mji huu, GENEVA OF AFRICA INAPOTEA KWENYE RAMANI
Hata kule Lindi na Mtwara watu wanaandamana? Mbona hali ya uchumi ni mbaya nchi nzima?
Maeneo ya Unga Limited, Sakina, Stand ya vifodi, ukipita maeneo hayo kwa kweli kiuchumi kunasikitisha sana maduka ya nguo hakuna wateja wakati kipindi cha nyuma biashara ilikuwa nzuri sana Arusha, hata wale vijana wajasiriamali walikuwa wanakwenda Nairobi kuchukuwa biashara saizi wapo tu mitaani hakuna kazi.
Kutaja maeneo ni sehemu tu ya propaganda zako ili uaminike. Uchumi wa Arusha haujafikia chini kiasi mnachotaka tuamini. Barabara zote za katikati ya jiji, kata za Levolosi, Ngarenaro, Kaloleni, mjini kati na maeneo mengineyo, wakandarasi wapo site wanazijenga kwa kiwango cha lami na zinasimamiwa na halmashauri. Magorofa yanaota kila kona na mengi yanajengwa na wenyeji. Utalii sasahivi ni high season. Wazungu kila mahali. Huyo aliyepita kwenye maduka ya nguo kupiga uchumi ni "mchumi" kweli maana ni mchumia tumbo tu wa Nape. Mwambie aende tena msimu wa sikukuu na watoto wanapofungua shule. Kwao hii ni low season. Arusha bar zinafanya kazi muda wote. Jioni vifodi vinagombaniwa na life inasonga. Huwezi kuifahamu Arusha kwenye monitor ya computer wala simu yako ya kichina. Njoo uje ule trupa na mtura utaifahamu Arusha na ladha yake!
mkaliwakitaa unapozungumzia September 11 unarudi nyuma mpaka mwaka 2001 ile hali haina uhusiano na uchumi wa Arusha. Kwanza kabisa Uchumi wa Arusha upo juu sana kwani ni ya tatu baada ya DSM na Mwanza. Unaposema utalii umepungua unatumia vigezo gani? Kwa mawazo yako kampuni za kitalii zinaongezeka siku hadi siku au zinapungua? Jibu ni kuwa zinaongezeka; sasa kama watalii wamepungua hizo kampuni zinahudumia kina nani? Mahoteli na Camping sites zimeongezeka sana na kila moja inapata wateja wa kutosha hivyo ushawishi wenu hauna nguvu. Miaka miwili iliyopita Arusha haikuwa na "Traffic Jam" leo Jam kila kona; hayo magari yameokotwa kama Arusha Kwishney?
Najua hitimisho la hoja yenu inahusu Ubunge wa Arusha mjini
njaasydrome ugonjwa mbaya sana utakuua unaanzia kichwani unashuka taratibu mpaka miguuni wahi haraka hospitali una kila dalili za ugonjwa huoWatajuta kwanini walimchagua yule kichaa, sasa hawana hata wa kuwa wakilisha Bungeni