Arusha kumejaa wazungu volunteer, whay not Mikoa mingine?

SOVIET UNION

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
467
1,308
Umofia kwenu, wakuu,

Mkoa wa Arusha now days kumejaa Wazunhmgu volunteers wengi sana, Hawa wako kwenye Mahospitali na Mashuleni na kwenye NGOs, Swali langu ni kwamba kwa nini Arusha pekeee ndio iwe na hawa volunteer wengi?

Utawakuta sana Karatu, Monduli, Arusha mjini, Arusha vijijini, Meru na Longido kiasi, huko ndiko wanako zunguka ku volunteer,

Hawa huwezi wakuta Singida, Kigoma, Taboara, Shinyanga, Katavi, na kwingineko.

Hii nchi ina amani mikoa yote ya Bara na Visiwani, sasa how come hawa Wazungu wawe wao wanataka ku volunteer Arusha pekee na sio sehemu nyingine ya Tanzania?

Na hawa wanao wapa Vibali za kuingia nchini kuja ku volunteer hawawezi shituka kwamba why wana volunteer Arush pekee yake? İ hope Uhamiaji ndio wahusika wa vibali sasa hawana akili hata ya kuhoji? Au kuna namna nyingine?

Ombi langu ni kwamba isiwe Volunteer wanatarget eneo moja kwa sababu wanazo zijua wao wenyewe bali iwe ni nchi nzima, asio taka bora asije ku volunteer.
 
Ni Sex tourism !!??
 
Back
Top Bottom