residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,020
- 9,609
CCM ni sawa na "Ndrangheta" tu ama "the Bratva".Hivi ccm ni chama cha siasa kweli?
Hakuna chama cha siasa hapo.
CCM ni sawa na "Ndrangheta" tu ama "the Bratva".Hivi ccm ni chama cha siasa kweli?
Sasa mbona mnasema mungu wenu kawasaidia na sasa mnapumua?Kwani shetani Hana wafuasi wazoefu?
Nani kamtaja Mungu kàma siyo kuweseseka kwakomnapumua
Kwani mtesi wenu bado yupo
Dhalimu atazidi kuonekana mbaya kwa wezi wa vyeti.Unadhani kwa haya yanayotokea ndio dhalimu ataonekana alikuwa mwema?
Kwahiyo kalalia jeraha sio?View attachment 2297889
----
Godbless Lema katika ukurasa wake rasmi wa Twitter anaeleza kuwa
BAD NEWS 17:00 JIONI 20/07/2022 Uvccm wamempiga Kisu mgongoni KATIBU WA CHADEMA KATA YA KIKATITI kamanda Ephata Pallanygo.
Wakitaka kushusha bendera za Chadema kwenye mawe ya misingi maana eti Rais anapita kuja Arusha.Hali yake mbaya sana Elisa S Mungure
View attachment 2298117
View attachment 2298119
Picha: Kijana anayedaiwa amechomwa kisu akiwa kwenye kitanda cha kituo cha afya
Tatizo hao jamaa everything is politicalunaweza ukakuta ni wivu wa kimapenzi ila ili story yake inoge lazima itajwe sababu za kisiasa
Siku hizi chadema ni mafala sana, ilitakiwa muda huu wanaccm wote wahamie porini kwa kipigoHivi ccm ni chama cha siasa kweli?
Cha wanywa damu.Hivi ccm ni chama cha siasa kweli?
Maridhiano hayo.
Aisee inashangaza na kusikitisha sana. Bado wanadhani Mama ana mawazo yale yale ya Hayati.CCM wameshindwa kuongoza nchi haiwezekani jamaa achomwe kisu kwasababu ya kuzuia bendera zisishushwe kumbe ni kosa la jinai Kwa chadema kupeperusha bendera?
Walisema upinzani ulishakufa sasa wanahangaika nini?Hili la Bendera za upinzani sijui huwa linawaathiri nini CCM. Hivi hawa viongozi wanaosababisha bendera zishushwe hawana inyelijensia wakaambiwa kabisa hapa mmedanganywa upinzani upo?
Huyu ni kijana!? Kitu ya Arusha inazeesha aiseeView attachment 2297889