Arusha: Katibu CHADEMA mahututi baada ya kuchomwa kisu na wasiojulikana

View attachment 2297889

----
Godbless Lema katika ukurasa wake rasmi wa Twitter anaeleza kuwa

BAD NEWS 17:00 JIONI 20/07/2022 Uvccm wamempiga Kisu mgongoni KATIBU WA CHADEMA KATA YA KIKATITI kamanda Ephata Pallanygo.

Wakitaka kushusha bendera za Chadema kwenye mawe ya misingi maana eti Rais anapita kuja Arusha.Hali yake mbaya sana Elisa S Mungure

View attachment 2298117

View attachment 2298119
Picha: Kijana anayedaiwa amechomwa kisu akiwa kwenye kitanda cha kituo cha afya
Kwahiyo kalalia jeraha sio?
 
Hizi ndio zilikiwa hoja za Julius Nyerere mwaka 1964 alipozunguka nchi nzima kuelezea kwa nini anafuta vyama vingi. Uadui, chuki na unazi kwenye jamii.

Alipovirudisha 1992 bado tukawa hatuko tayari navyo, na ni kwa sababu yeye mwenyewe alitawala kwa mkono wa chuma. Hatukujifunza demokrasia na uhuru wa kutofautiana mawazo ya kisiasa.
 
View attachment 2297889

----
Godbless Lema katika ukurasa wake rasmi wa Twitter anaeleza kuwa

BAD NEWS 17:00 JIONI 20/07/2022 Uvccm wamempiga Kisu mgongoni KATIBU WA CHADEMA KATA YA KIKATITI kamanda Ephata Pallanygo.

Wakitaka kushusha bendera za Chadema kwenye mawe ya misingi maana eti Rais anapita kuja Arusha.Hali yake mbaya sana Elisa S Mungure

View attachment 2298117

View attachment 2298119
Picha: Kijana anayedaiwa amechomwa kisu akiwa kwenye kitanda cha kituo cha afya
Huyu ni kijana!? Kitu ya Arusha inazeesha aisee
 
Back
Top Bottom