Huu nao ni mtazamo tu!Sasa hiyo inahusiana nini na kichwa cha habari? Unazi mwingine, hovyooo!
Waziri kilaza asiyejua hata sheria na kanuni zinazohusika na wizara yake. Ama kweli, mpaka tufike 2015 tutayaona mengi kutoka kwenye serikali hii ya vilaza.
Sasa hiyo inahusiana nini na kichwa cha habari? Unazi mwingine, hovyooo!
Uhusiano wa hii post na kichwa cha habari ni mkubwa sana ukizingatia Mkuchika kama muwakilishi wa serikali aliwakilisha serikali kuitunisishia misuli CDM juu ya maamuzi yake juu ya madiwani wale wa arusha na sasa yametimia yale ambayo yalipingwa na serikali kupitia muwakilishi wake ambaye ni mkuchika.Sasa hiyo inahusiana nini na kichwa cha habari? Unazi mwingine, hovyooo!
Ivi unafikiri mkuchika ana akili?huwa anafanya maamuzi kwa kutumia masaburi kama unataka kujua hili angalia kipindi alipokuwa waziri wa utamaduni na michezo aliporifungia gazeti la mwanahalisi,ukimfatilia kwa umakini utaona ni mtu wa kukurupuka sana.
Sasa hiyo inahusiana nini na kichwa cha habari? Unazi mwingine, hovyooo!