Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Tunajua kabisa kuwa sekta inayoongoza kwa kulipatia mapato taifa ni utalii. na utalii mwingi upo arusha...viongozi wetu kama wana akili timamu kwa nini wanausumbua huu mji unaowapa mapato makubwa ya nchi?...na sasa hivi bila ndoa za mashoga hatutapewa misaada ...mimi nilitarajia kuona miji kama hii na vyanzo vingine vya mapato vikiimarishwa ili kujiandaa na hili tishio. au wakubwa wetu wapo tayari kufunga ndoa za mashoga? .........kwa nchi yetu kama Tanzania kuliharibu jiji la Arusha ni kama vile kwenda kunya kisimani au kumtukana baba yako ili hali unamtegemea kwa kila kitu ...
umeme unakatwa katwa kila saa ....sasa sijui huo umeme wanajiwashia wao majumbani au ni roho mbaya zao tu ....
umeme unakatwa katwa kila saa ....sasa sijui huo umeme wanajiwashia wao majumbani au ni roho mbaya zao tu ....