Arusha: Akilli fupi za viongozi wetu?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
Tunajua kabisa kuwa sekta inayoongoza kwa kulipatia mapato taifa ni utalii. na utalii mwingi upo arusha...viongozi wetu kama wana akili timamu kwa nini wanausumbua huu mji unaowapa mapato makubwa ya nchi?...na sasa hivi bila ndoa za mashoga hatutapewa misaada ...mimi nilitarajia kuona miji kama hii na vyanzo vingine vya mapato vikiimarishwa ili kujiandaa na hili tishio. au wakubwa wetu wapo tayari kufunga ndoa za mashoga? .........kwa nchi yetu kama Tanzania kuliharibu jiji la Arusha ni kama vile kwenda kunya kisimani au kumtukana baba yako ili hali unamtegemea kwa kila kitu ...
umeme unakatwa katwa kila saa ....sasa sijui huo umeme wanajiwashia wao majumbani au ni roho mbaya zao tu ....

Mkuu Mt. Ivuga naomba wazungu walete masharti kuwa ili watoe msaada ni lazima rais aliyepo madarakani apigwe mjegejo ili m.k.w.-re akishashikishwa ukuta atajua umuhimu wa kutokuachia mambo ya kijinga yatokee Arusha
 
mkuu mjegejo ni nini?
 
Tunajua kabisa kuwa sekta inayoongoza kwa kulipatia mapato taifa ni utalii. na utalii mwingi upo arusha...viongozi wetu kama wana akili timamu kwa nini wanausumbua huu mji unaowapa mapato makubwa ya nchi?...na sasa hivi bila ndoa za mashoga hatutapewa misaada ...mimi nilitarajia kuona miji kama hii na vyanzo vingine vya mapato vikiimarishwa ili kujiandaa na hili tishio. au wakubwa wetu wapo tayari kufunga ndoa za mashoga? .........kwa nchi yetu kama Tanzania kuliharibu jiji la Arusha ni kama vile kwenda kunya kisimani au kumtukana baba yako ili hali unamtegemea kwa kila kitu ...
umeme unakatwa katwa kila saa ....sasa sijui huo umeme wanajiwashia wao majumbani au ni roho mbaya zao tu ....

Mkuu Ivuga naona concern yako!

Nianze kusema kuwa ... Ukiona mtu mzima kasoma na kuwa degree zote .. ana akili timamu ... lakini hilo halimuhakikishiii kuwa na UTU NA UBINADAMU KAMILI.

Hivyo viogozi wetu Hawana UTU na wameishiwa na Ubinadaamu. Hili linatupelekea kwenye Nilipopigia rangi ya buluu hatua ya pili. Yaani Kutishiwa Kuwa Taifa bila kukubaliana ndoa ya Mashoga halitapewa misaada ..tuseme tu kwa uwazi .. Hatutalishwa ...

Hivi kweli tumepeleka wapi UTU na Ubinadamu wetu ...?

Kama viongzi wetu Hawana UTU na UBINADAMU .. wanatumia nini kuogoza Taifa? Watakuwa na Maamuzi yenye tija?
 
Rais wa Ghana ... Amtokeza hadharani na kuonyesha UTU wake..na kupinga kitendo hicho za Waziri Mkuu wa Unigereza!! kuhusu Misiaada Vs Ndoa za Jinsia Moja.
 
Mkuu St. Ivuga, hoja yako kuhusu Arusha ni nzuri, lakini siyo Arusha pekee inayostahili kutendewa hivyo, hata sisi huku Nkotokwiana tunastahili pia kutendewa kama Arusha, Dar, Mza, nk wanavyostahili kutendewa.
 
nimepapenda hapo.......nipe mualiko basi.......
 
Mkuu St. Ivuga, hoja yako kuhusu Arusha ni nzuri, lakini siyo Arusha pekee inayostahili kutendewa hivyo, hata sisi huku Nkotokwiana tunastahili pia kutendewa kama Arusha, Dar, Mza, nk wanavyostahili kutendewa.
mkuu wangu ni kweli kabisa
 
Free Masons and New World Order at work. Washindwe na walegee kwa jina la YESU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom