Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nadhani sasa ataanza na pesa ya maana kumchukuwa cahil ..... i

Kwa kichapo hiki hata kama wenger anajifanya bahiri, lazima tu atanunua.

Ila awe makini asije akakurupuka akanunua magalasa kwa bei kubwa kama chamack anayeozea benchi.
 
Naona Piers Morgan anasema huu ndio utakuwa mwisho wa Wenger kufanya experiment na watoto wake na ataanza kununua wachezaji wazoefu.


Hiki kipigo kusema kweli kimetugusa sana hata kama tuna majeruhi au kadi nyekundu. Ni kipigo kikubwa sana, ngumu kujitetea kwa sababu yoyote hile.
 
Mshikaji tuache uongo, hata mkishinda mechi nyingine 30, hii itabakia kuwa historia na kidonda chungu...no one will ever forget the massacare at OT on August 28 2011!

Mbona tulishasahau ile ya 6-1; timu iko under (re)construction, better this has happened mwanzoni mwa season na si at the end kama kawaida so this time we'll bounce back big time - we'll add top notch players and the likes of wilshere,gervinho, song an varmalean will be back!
 
Leo katika magoli 10 (Rooney 3, Young 2, Welbeck, Nani, Park, Walcott, Van Persie),

Mashuti 28 (15 Man U na Arsenal 13), 16 yalielekea golini (10 Man U na Arsenal 6), kona 8 (3 Arsenal na 5 Man U)

Man walimiliki asilimia 59 ya mpira.

Chanzo: Opta Index
 
jamani kama kuna mtu mwenye link ya VIDEO after match .. wenger anaongea nahitaji....
 
Wenga kama shibuda hapaswi kufukuzwa atapima yeye mwenyewe kama anastahili kuifundisha timu hiyo ya London. Poleni sana wapenzi wote wa arsenal
 
hivi jamani swanswea tutaweza kweli kama wachezaji wenyewe ni kina coquelin!..... kamtoa wapi yule dogo kwanza
 
Mie nafikiri kuna haja ya kufanya maamuzi magumu,wafukuze wenger,bora kuanza upya kuliko kujenga timu kila mwaka,mwaka wa saba huu utapita bila ya kikombe.
Shida ya Arsenal wakuu, inamilikiwa kwa hisa na mashabiki so inakuwa ngumu kuwaunganiisha wote wakubaliane kufanya maamuzi ya muhimu na magumu kwa manufaa ya timu, ndo maana huwa nasema bora kuwa na mmiliki kama Abramovich yaani hataki ujinga!
mwaka wa saba huu utapita bila ya kikombe.
Shangaa hata Emirates cup hatuna!
 
hivi jamani swanswea tutaweza kweli kama wachezaji wenyewe ni kina coquelin!..... kamtoa wapi yule dogo kwanza

Kipa wao mzuri sana.

Coquelin yupo reserve team, tumeishiwa pale defensive midfield mkuu Frimpong na Song kadi nyekundu na Wilshere injury. Nashangaa Frimpong alipopewa kadi kwanini hajamwita Denilson kutoka loan.

Kwahio hakukuwa na jinsi zaidi ya kumleta Coquelin acheze kati pale.
 
Back
Top Bottom