Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dead and buried!!! Unbelievable, how can you accept 8 goals? This is a disgrace and there can be no excuses.
 
Jinsi Wenger alivyopanga timu leo amefeli hii

Nina hakika kama ingekuwa ni timu ya daraja la chini leo wangeweza hata kufanya maajabu kwa kuifunga Man U.

Hawa wachezaji wana soke answers to give.
 
Haya wakuu tutakutana na Manure Emirates kwenye replay .... ... .... ... tunafahamu tumekuwa short kwa kuwa na wachezaji ambao hawajacheza pamoja kwa muda mrefu.
 
Weye mchokozi... Jamani Wacha iko wapi? Kaenda kujificha kwa mungiki?

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mkuu mechi 38 za EPL hii ni mechi yetu ya tatu khekhe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Sikimbii kama wewe - Manure 12 against 10.
 
Jinsi Wenger alivyopanga timu leo amefeli hii

Nina hakika kama ingekuwa ni timu ya daraja la chini leo wangeweza hata kufanya maajabu kwa kuifunga Man U.

Hawa wachezaji wana soke answers to give.

Beki haina kiongozi mkuu.

Wenger bado anabishana bei za wachezaji tu
 
sheria mpya ya FIFA baada ya magoli matatu yanayozidi hayahesabiwi

Nauliza hili kombe la mbuzi kule Kinondoni ?

hii imekuwa kama kusukuma mlevi vile wala hutumii nguvu saaana
 
Kwa historia ya Arsenal hii ni loss ya pili tangia mwaka 1896 dhidi ya timu ya Laughborough.

Mimi nachukulia kuwa hii inatoa fundisho kwa Arsene Wenger na Bodi nzima ya wanamiliki wa timu hio.

Pia CEO Ivan Gazidis nae ana majibu ya kutoa.
 
There are currently 79 users browsing this thread. (45 members and 34 guests)

Haya wakuu movie imeisha sasa rudini majumbani kwenu tuzungumze mambo ya familia yetu sasa ya gunners.
 
...cum on guys, mlitaka acheze nani pale kati?
Wilshere, Diaby na TV5 majeruhi. Song na frimpong banned. We'd no choice ila kukubali matokeo.

We will be back, bring on Swansea!
 
Kwa historia ya Arsenal hii ni loss ya pili tangia mwaka 1896 dhidi ya timu ya Laughborough.

Mimi nachukulia kuwa hii inatoa fundisho kwa Arsene Wenger na Bodi nzima ya wanamiliki wa timu hio.

Pia CEO Ivan Gazidis nae ana majibu ya kutoa.

Kuna Emergency meeting kesho.
 
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mkuu mechi 38 za EPL hii ni mechi yetu ya tatu khekhe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Sikimbii kama wewe - Manure 12 against 10.

Mshikaji tuache uongo, hata mkishinda mechi nyingine 30, hii itabakia kuwa historia na kidonda chungu...no one will ever forget the massacare at OT on August 28 2011!
 
Back
Top Bottom