Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenye nyumba mko wapi? Naona leo mmesepa wote, si kawaida hapa kwenye jamvi la Arsenal!!
 
So far tumeshapigwa mbili bila..... na hakuna hata dalili za kurudisha hizi goli.....Upuuzi mtupu....hakuna 4ward kabisa....
 
Nafikiri bado wanaomboleza msiba wa yule shabiki wao kule Pakistan
 
Mkuu Quest imekuwaje tena? Manake nilikuwa mtaani kum-takecare mama watoto leo Mother's Day narudi nyumbani hapa nawasha Tv nakutana na msiba wetu.
 
Nimepita kuwasabahi....afu ww AW mbn hutekelezi maagizo ya bosi wako mimi?
 
Tusubiri mwakani Wakuu ndoto zetu msimu huu ndio zimefikia ukingoni. Timu hii inabidi ifumuliwe na kujengwa upya ili kuongeza uwezekano wa kutwaa mataji mbali mbali ya soka, lakini kama tutabaki na timu hii basi tutaendelea kusononeka hata msimu ujao. Mie nasubiri mchapo wa MANU VS Chelsea sasa najua hii itakuwa na ushindani wa hali ya juu na si ajabu mshindi ndio akautwaa ufalme wa soka UK. Leo mie nashangilia Chelsea ( I am very sorry BJ & Co) maana kuna Waafrika wenzetu wengi tu Drogba, Essian, Kallou, Malouda & Mikel hahahahaha lol! Sijui kwa nini yule Torres anaanza mechi hii muhimu badala ya kuwa kwenye bench
 
So far tumeshapigwa mbili bila..... na hakuna hata dalili za kurudisha hizi goli.....Upuuzi mtupu....hakuna 4ward kabisa....

hahaaaa mmepigwa viwili??hahaaa waambie ni wapumzike kwanza mfute....Timu ugonjwa wa moyo hili sijawahi kuona khaaaa,,,yaani unaweza kupata kiharusi hivi hivi unajiona
 
Hata UK football analyst wakati wa HT ananiunga mkono kwamba atashangaa sana kama Torres ataanza. Mie nataka Drogba, Mallouda, Kallou na Anelka wote waanze leo.
 
Mkuu Quest imekuwaje tena? Manake nilikuwa mtaani kum-takecare mama watoto leo Mother's Day narudi nyumbani hapa nawasha Tv nakutana na msiba wetu.

ndugu yangu tuna msibaa... hata nafasi ya tatu sina nayo imani.......Ni upuuzi mtupu....Si AW si wachezaji...woye ni uozo....haingii akilini kuifunga man utd then unakuja kuchapwa na Stoke City....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
yaani mi ndo ningekuwa kocha wa hii timu haki ya mungu ningekuwa wapiga watu mitama changing room maana wanaudhi sana wachezaji hawa

mkuu, kuwa fan wa hawa wajamaa, ni kutafuta BP tu, yyani wameshapigwa 2 bila? so mwaka huu hola tena kwa AW
 
ndugu yangu tuna msibaa... hata nafasi ya tatu sina nayo imani.......Ni upuuzi mtupu....Si AW si wachezaji...woye ni uozo....haingii akilini kuifunga man utd then unakuja kuchapwa na Stoke City....

kweli huu ni msiba ndugu yangu kha!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
dah! Me sina usemi juu ya THE GUNNERS katka mech ya leo. I LOVE THE GUNNERS okay poa 2subiri kat ya M2 UNITED NA CHELSEA
 
Back
Top Bottom