Ya suarezWenger anafahamu wazi kwamba mwenye timu ya Lyon ni "very tough negotiator" hasa kwenye masuala ya "mpunga" na amesema anataka Euro 50M that's it.
Arsenal wangesogea angalau hata Euri 45M zingetosha.
Wewe unatafuta mshambuliaji halafu unaweka Euro 35M na watu wote wanaangalia PL ina pesa, si utani huo?
West Ham waliweka Euro £40M wiki iliyopita na ikakataliwa, yeye anaweka Euro 35M!
Lakini wanaweza kwenda tena, tungojee lakini isiwe tena Euro 35,000,001
Aahaha sawa kaka jiandae na offer.Arsenal wananitaka mimi kucheza kama striker. Wameshawasiliana na wakala wangu. Stay Tuned
Drogba bado mwiba kwa Arsenal... MLS 1-1 ARSENAL
Unaanza kunielewa taratibu....Hata hivyo kama nilivyosema hapo mchana kwamba Lacazette hakuwa prime target wao wana prime target yao ambayo pengine ina dau dogo zaidi.
Sababu ni kwamba hiyo itakuwa cover kwa Girud na ukizingatia Theo Walcott nae yupo pia.
Hivyo wanatumia kila aina ya uhuni na mwenzie Gazidis kutaka kuchezea akili zetu wana gunners.
Simple anajua watakataa....then atakuja semaWest ham wali-bid £32m sasa huyu mzee anafanya watu majuha anakwenda yeye na dau dogo zaidi £29.3m akitegemea nini sijui!?
Lyon wamesimamia £40m plus bonuses,ni kama anacheza na akili za watu,tazama waliojipanga tayari wameshafanya usajili wa maana yeye anasubiri dakika za majeruhi kiasi hata kama akifika dau timu inakataa kuuza kwa sababu hakuna muda au wachezaji wa maana wamekwisha sokoni,huyu ndio mzee wa "We were very close to a major signing" kuna watu wanasema...
"Wenger is known as the Professor, but over the past decade he has stopped professing. He, along with the club he controls, have grown stagnant. Never before has that been as obvious as it is this summer".
Arsenal will not pay £44mil for Mahrez NEVER......this is Pure cooked rumour na British TabloidsUsajili Updates: Arsenal wanazungumza na Schodran Mustafi
Arsenal wanafanya mazungumzo na wawakilishi wa beki wa Valencia Schodran Mustafi ambae pia ni beki wa timu ya taifa ya Germany.
Kama nilivyoeleza hapo kabla kwamba maofisa wa Arsenal walikwenda Ujerumani mwishoni mwa wiki iliyopita, Mustafi anasajiliwa kuziba pengo la Per Mertescker ambae ameumia goti.
Mustafi likuwa ni mmoja wa wachezaji nyota wa Ujerumani kwenye michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa na anatarajiwa kusajiliwa kwa kiasi cha pauni kati ya milioni 23 na 26.
Wakati huohuo mchezaji mahiri wa mabingwa watetezi wa Uingereza Riyad Mahrez anatarajiwa kusaini mkataba na Arsenal katika siku zijazo.
Riyad Mahrez kusajiliwa na Arsenal kwa gharama kiasi cha Euro milioni 44.
habari Zaidi kuthibitisha usajili huu muhimu kwa wana Gunners kuendelea kukujia.
Stay Tuned.
Mustafi.. SafiUsajili Updates: Arsenal wanazungumza na Schodran Mustafi
Arsenal wanafanya mazungumzo na wawakilishi wa beki wa Valencia Schodran Mustafi ambae pia ni beki wa timu ya taifa ya Germany.
Kama nilivyoeleza hapo kabla kwamba maofisa wa Arsenal walikwenda Ujerumani mwishoni mwa wiki iliyopita, Mustafi anasajiliwa kuziba pengo la Per Mertescker ambae ameumia goti.
Mustafi likuwa ni mmoja wa wachezaji nyota wa Ujerumani kwenye michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa na anatarajiwa kusajiliwa kwa kiasi cha pauni kati ya milioni 23 na 26.
Wakati huohuo mchezaji mahiri wa mabingwa watetezi wa Uingereza Riyad Mahrez anatarajiwa kusaini mkataba na Arsenal katika siku zijazo.
Riyad Mahrez kusajiliwa na Arsenal kwa gharama kiasi cha Euro milioni 44.
habari Zaidi kuthibitisha usajili huu muhimu kwa wana Gunners kuendelea kukujia.
Stay Tuned.
It's about the transfer policy of the club, stop hating the old man. Juzi tu hapa Gazadis alisema timu haiwezi kushindana na timu zingine kununua wachezaji wa bei ghali.Unaanza kunielewa taratibu....
The biggest miser and delutional ni AW
nayasema haya kwa sababu mimi kama mimi nimekuwa mtetezi wake sana....kumbe he was Fooling me kama wengine wengi
msimu uliopita kabla ya Protest ya Game ya Norwich city ile ya "TIME FOR CHANGE ENOUGH IS ENOUGH"
aliongea pumba ambazo hazielezeki
in short arsenal hawako tena kwenye Financial Constraint bali wako na Narrow and old minded ya AW HATAKI kabisa kununua PROVEN players .....sio kocha tena ana act kama Shareholder its about bargains na Balance sheets!!! nyie mlio huko ulaya mnazingua mnalipa FEE za nini mlangoni pale Merchandise ambazo watu hawako tayari kuonyesha AMBITION?
AW has turned me to hate him since that day....aliongea Crap za hatari damn it!!!!
For your information AW controls all transfers thereIt's about the transfer policy of the club, stop hating the old man. Juzi tu hapa Gazadis alisema timu haiwezi kushindana na timu zingine kununua wachezaji wa bei ghali.
Kila timu ina policy zake when it comes to buying and selling players, I don't believe that it's all down to Wenger to make big money transfer decisions.
Mi naenda na flow tu sasa sitaki tena kufuatilia transfer windowArsenal will not pay £44mil for Mahrez NEVER......this is Pure cooked rumour na British Tabloids
Mustafi habari yake ni RELIABLE wako mezani (source Skysports) ila Release clause ya £42mil sio rahisi huyo MISER kutoa pesa
the deal may collapse....penny pitching at Best
Hawezi kuwa na 100% control of transfers, siamini wala siwezi kuamini hili. Arsenal is an entity bwana, with major and minor shareholders, AW hawezi kudictate kiasi gani kitolewe kwenye dirisha la usajili hata siku moja. Arsenal sio simba wala Majimaji ya songea kiongozi.For your information AW controls all transfers there
Arsene is most powerful Manager in Europe
HAKUNA jambo atataka litapingwa....
Wana share same Vision na Bodi yake Haishangazi kukaa miaka 20 kama angekuwa anatofautiana nao Vision
Arsene na bodi yake ni WALE WALE zinduka Eli79 Arsene is fooling you wengine tumeshtuka
Sasa kinachopelekea wenger ashindwe kinunua ata huyo striker wa bei poa ni niniHawezi kuwa na 100% control of transfers, siamini wala siwezi kuamini hili. Arsenal is an entity bwana, with major and minor shareholders, AW hawezi kudictate kiasi gani kitolewe kwenye dirisha la usajili hata siku moja. Arsenal sio simba wala Majimaji ya songea kiongozi.