UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,585
- 1,883
Mwanangu acha kabisaa Unaweza kuta mtu mzima kakauka kimya kumbe ndo tayari kama WA Uganda na KenyaUnachokonoa Stress za kujitakia
Mwanangu acha kabisaa Unaweza kuta mtu mzima kakauka kimya kumbe ndo tayari kama WA Uganda na KenyaUnachokonoa Stress za kujitakia
hata msimu uliopita mlisema hz pumbaGuys msimu huu babu anabeba ndoo haina ubish
Don't worry time is a snitch that has never had a rival,so relax let's wait for our snitch to mingle with what best on her side..then in the end you'll come n tell me new story that will be interesting to hearhata msimu uliopita mlisema hz pumba
Kwa team gani itubebeshe ubingwa? Mbele OG au Sir No Go. Sijipi dhamana ya kubeba ubingwa nikaishia kuteseka na msongo wa mawazo. Hii team inahitaji uwekezaji kwa sasa wa walau wachezaji watatu. Mtu wa kati nyuma mmoja maana Kos6 na Per umri umeenda sidhani kama wanaweza kupiga gane 40+ bila kukaa kitanda cha Diaby. Pia mtupia kambani wa maana ambae hana aibu na nyavu sio kama huyu wetu claer cut chances 10 per game anaishia kushika Pua tu na kichwa. Na Mwisho tuongeza mtu wa wing ya kulia walioko wote hawaamininiki. Huyu awe na uwezo wa 15+ goals kwa msimu plus assist walau 15 pia. Huku Ozil nae awe na assist kama kawaida yake na magoal walau 10 hivi kwa msimu. Elsancho nae afunge na kuassist. Kisha magoal yale yasiyotarajiwa tukipata msimu unaisha tuko vyema. Na sio vinginevyo.Huwa naomba msimu huu tukose Ubingwa ili huyu mzee aondoke!
Tukipata ubingwa tu, anaweza ongezewa mkataba.
TutapataHuwa naomba msimu huu tukose Ubingwa ili huyu mzee aondoke!
Tukipata ubingwa tu, anaweza ongezewa mkataba.
Tutapata
Mkuu tuko tofauti huu uzi umenivutia sana!!!Arsenal 1-0 Chivas. Dogo mpya Holding amefunga...
Btw, huu uzi wa sijui wa tatu (rangi ya black and neon au kwa macho ya Kiswahili Black & Green) haujaniingia moyoni.
Mkuu binafsi sidhan kama A. Wenger atasajili watu hao hasa mehrez kwa lacazete siju maybe inawezekana laki ukisikia kauli za wenger ni wazi kuwa inaonekana hana tena mpango wa kutoa pesa zaidi ya ile aliyoitoa kwa Granit Xshaka.Usajili Updates:
Wakuu Arsenal bado wapo wanaangalia dirishani kuona kama wanaweza kuongeza dau kwa Alexndara Lacazette na Riyad Mahrez.
Kwa Lacazette wanaweza kuongeza dau kufikia pauni milioni 45 na Mahrez ambae timu yake ya Leicester wameweka mezani mkataba mpya wa 100,000 pauni kwa wiki Arsenal wanataka waongeze mshahara uwe 140,000 pauni kwa wiki.
Kuhusu beki Schodran Mustafi ni kwamba dili limekamilika na linaweza kutangazwa wakati wowote ule.
Habari Zaidi kuendelea kutiririka.